Habar ya mda huu wapendwa kama kichwa Cha habari kinavyosema nauza viatu vya ngozi Masai original kutoka namaga Kenya Aina zote kwa bei nafuu pia tunakopesha ni hapa dar karibu Sana wateja
Wanabodi amani iwe kwenu. Kuna eneo ( Plot) zuri sana liauzwa. Lipo mji wa Kibaigwa Dodoma.
1. Lina ukubwa wa heka 7
2. Lipo pembezoni mwa barabara ya Dodoma-Dar
3. Limepimwa na lina hati miliki...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Nafuta mashine ya kukandia ng'ano
Yenye uwezo wa kukanda kilo 30 hadi 50.
Naomba yoyote mwenye kujua wapi zinapatikana hizo machine na bei yake...
Magauni ya harusi yamekodiwa mara chache yana hali nzuri , moja ni jipya , pia yapo ya send off na sherehe mbalimbali . Yanafaa kukodisha au matumizi binafsi. Kuanzia laki moja (100,000 -200,000)...
Laptop unaweza kutumika kama iPad pia. Laptop ni core i 5, Ram 4GB HDD 120, inatunza chaji zaidi ya masaa kumi. If interested call 0717425183. Bei ni shiling 600,000 Karibuni
Wadau nina mzigo wa mahindi
Lakini kwa mkoa niliopo bei hairidhishi kabisa yaani ni hasara kubwa na inazidi kushuka kila kukischa...
Nisaidieni wadau bei zipoje huko kwenu
Niuze angalau nirudishe...
Habari wakuu
Nipo hapa kutafuta mtaalamu wa Kupiga kinanda anifundishe Hadi nifaham vizuri nipo tayari kumlipa kiasi tutakachoelewana naye..
Na kama akiwa choir master au organist itakuwa poa...
Habari naitwa Elia ni mtaaramu wa mambo ya urembo na ususi kwenye salon ya kike nahitaji ajira ya salon na uzoefu wa kutosha kwa mambo ya saloon nahitaji kazi saloon ya kike dar nafanya vitu...
kwa wanaotaka kufungua hotel au bar ninakodisha nyumba ya biashara ipo Arusha sanawari. Ina eneo la wazi la kutosha. kodi tutaongea utakapofika kwenye eneo husika.
tuwasiliane kwa namba hizi...
Nahitaji mifuko ya salfeti kuanzia kilo 1,2 na 5kg. Kwa mtu anayetengeneza na kuweka logo tafadhali tuwasiliane ama hata kama unamjuwa anayefanya iyo kazi nisaidie tuu. check sample ya mfuko hapo...
Je Unahitaji kupunguza mwili haraka
Vegievegie ni bidhaa mpya ambayo inaupunguza mwili haraka bila Kuleta Athari kwa mwili
Inaformula madhubuti inayowezesha mwili kupungua Kwasababu inapunguza...
Habari Wakuu!
Kutokana na kudorola kwa biashara, Nimeamua kufunga Stationary! Kuna items ambazo zimebaki na ningependa kuziuza kabla ya kufunga!
Nina Canon C-EXV33 Tonner 6 for imageRUNNER...
Habari wakuu.
Tumeshuhudia kupata mtaji fedha imekuwa changamoto kubwa. Lakini pia, hakuna njia ya kuukuza mtaji kama hujawekeza kwenye mradi wowote. Hivyo Sisi Drones Online Ads tumekuwa kwa muda...