Nahitaji Mifuko ya salfeti

Nahitaji Mifuko ya salfeti

Joined
Dec 17, 2015
Posts
12
Reaction score
2
Nahitaji mifuko ya salfeti kuanzia kilo 1,2 na 5kg. Kwa mtu anayetengeneza na kuweka logo tafadhali tuwasiliane ama hata kama unamjuwa anayefanya iyo kazi nisaidie tuu. check sample ya mfuko hapo katika picha.
 

Attachments

  • 2018-01-17-PHOTO-00041893.jpg
    2018-01-17-PHOTO-00041893.jpg
    14.8 KB · Views: 35
Back
Top Bottom