Natafuta kazi ya salon ya kike Dar

eliajelemia50

Member
Nov 15, 2016
12
8
Habari naitwa Elia ni mtaaramu wa mambo ya urembo na ususi kwenye salon ya kike nahitaji ajira ya salon na uzoefu wa kutosha kwa mambo ya saloon nahitaji kazi saloon ya kike dar nafanya vitu vyote nipo moro town ndio home nataka nibadilishe mazingila mwenye uhitaji anicheki haraka 0715992666 mshahara maelewano ila nipo vizur ki kazi profeshino
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom