Tecno Spark X plus Inauzwa

Tecno Spark X plus Inauzwa

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti ipo
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano
 
Attachments

  • Screenshot_20180125-082943.jpg
    Screenshot_20180125-082943.jpg
    38.6 KB · Views: 73
  • Screenshot_20180125-082916.jpg
    Screenshot_20180125-082916.jpg
    30.3 KB · Views: 79
  • IMG_20180125_082550.jpg
    IMG_20180125_082550.jpg
    92.2 KB · Views: 69
  • IMG_20180125_081610.jpg
    IMG_20180125_081610.jpg
    93.5 KB · Views: 79
  • IMG_20180125_082057.jpg
    IMG_20180125_082057.jpg
    63 KB · Views: 102
=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano

N
Mkuu, huwezi kuuza kwa bei hiyo kwa haraka kama unavyo dai..
Mm nina 150,000/= hapa ya haraka..
 
=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti ipo
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano
Mkuu tunaweza ku exchange na Huawei p9 lite
 
Kila mtu akiuza kitu,anadai natumia mwezi mmoja! Hehehe bongo bwana
 
Kila mtu akiuza kitu,anadai natumia mwezi mmoja! Hehehe bongo bwana
Risiti ndo uthibitisho mkuu, ukitaka nikupeleke duka nililonunua ukathibitishe haina shida
 
Hiyo bei ya 250k unapata tecno cx na 230 to 200k unapata cx air spark 7 ni around 170-180k Weakness yake haina 4G sikupangii bei ila ni used phone tecno zina rate hivo kila la kheri boss wangu.
 
Sema uliuziwa 300000 lakini hiyo sio bei yake hapa katoro zinauzwa laki moja na elfu themanini mpya
 
=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti ipo
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano
Unapatikana wapi boss. Nitafute pm tufanye biashata
 
=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti ipo
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano
Nitumie mawasiliano yako
 
Nakupa 180000 ila naomba risiti ya EFD machine ndio inatambulika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
yaani vyuma vimekaza kiasi wote mnaotaja dau walau mngenitoa buku buku nijaribu kuvilegeza 😕😕😕😕
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom