Tumia Internet Buuure! Kabisa

Tumia Internet Buuure! Kabisa

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
1,482
Reaction score
894
HI THERE!
Kama utakuwa unahitaji kutumia internet bure kabisa kwenye SIMU AU PC(COMPUTER)
Hii ni huduma ninayo kupa kwenye simu yako au computer ambapo utakuwa na uwezo wa kuingia internet bila ya kuwa na mb wa hela kwenye laini yako

njoo PM (inbox)
MAHITAJI
-SIMU AU COMPUTER
-LAINI ISIYO NA MB WALA HELA
almost mitandao yote inakubali
KARIBUNI
hqdefault.jpg
 
nahitaji
 
Kamaa unatoa hiyo Huduma buree toa maelezo hapa hapa.. vinginevyo ni utapeli
 
Kamaa unatoa hiyo Huduma buree toa maelezo hapa hapa.. vinginevyo ni utapeli

Hii ni huduma ninayo kupa kwenye simu yako au computer ambapo utakuwa na uwezo wa kuingia internet bila ya kuwa na mb wala hela kwenye laini yako

Kwa kutumia applications maalum
ntakuwezesha Ku bypass traffic za provider wako wa internet ndipo ambapo sasa utaweza ingia internet bila ya kuwa na mb wala hela.
 
HI THERE!
Kama utakuwa unahitaji kutumia internet bure kabisa kwenye SIMU AU PC(COMPUTER)
Hii ni huduma ninayo kupa kwenye simu yako au computer ambapo utakuwa na uwezo wa kuingia internet bila ya kuwa na mb wa hela kwenye laini yako

njoo PM (inbox)
MAHITAJI
-SIMU AU COMPUTER
-LAINI ISIYO NA MB WALA HELA
almost mitandao yote inakubali
KARIBUNI
hqdefault.jpg
Ndenda fb ukawanase malofa wenzako
 
Umetumwa na nani? izo mbinu wape wasiojulikana wenzako.
 
Ni ujuha kulazimisha watu kuja PM kwa kigezo eti huko ndipo unapoweza wasaidia ..

MUHIMU: kama wewe ni wale wale waambie umewakosa kwani wanaotafutwa hawajazoea vya bure ...
 
Ww mwnywe umenunua bando kwnza ndo ukapost huu wizi wako! [emoji23]
 
Back
Top Bottom