Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,291
- 23,168
Jamaa yangu anatoka mkoani anahamia dar. Anahitaji nyumba maeneo ya kuanzia tabata bima kwenda segerea mpaka tabata chang'ombe. Anasema offa yake ni tsh 300,000 kwa mwezi.
Nyumba iwe na vyumba 3 kimoja masterbedroom.jiko kubwa, choo public ndani,fensi geti,tiles,paving blocks na luku maji vya kujitegemea.
Kama kuna anayeweza kufanikisha tukio hili ani PM tafadhali. Jamaa anataka so soon.