Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye ujuzi wa taaluma ya ufundi umeme,
-Nafanya wiring katika nyumba
-Natatua hitilafu za kiumeme katika nyumba
-Nachora na Kudizaini michoro mbalimbali ya...
Jamaa yangu anatoka mkoani anahamia dar. Anahitaji nyumba maeneo ya kuanzia tabata bima kwenda segerea mpaka tabata chang'ombe. Anasema offa yake ni tsh 300,000 kwa mwezi.
Nyumba iwe na vyumba 3...
=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti...
Farm for Lease
A 2.5 hectare brick fenced farm at Madale Kisauke in Dar is for Lease.
The farm has a chicken house that is fully equipped with water drinkers. It can accommodate up to 10,000...
Najitokeza kwa mara nyingine kutangaza kuuza kiwanja changu kilichopo dumira wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro.
kiwanja hiki kina ukubwa wa hatua 30 urefu na hatua 20 upana.Kipo eneo zuri...
Morning guys nani kuku wa nyama 400 nahitaji msaada wa soko kwa yoyote mwenye soko au connection ya uhakika kuuza hawa kuku bei 6500,wanapatikana dar es salaam
Shukran sana.
*Mawasiliano*...
#Website is heart of any #business
Without #website #business will not survive in digital world
Get your business website today from us at Very affordable price with - Domain name
- Hosting
-...
Banana Kitunda,Matembele ya kwanza kabla ya kuvuka Reli. 2.3kms toka Banana. 4.8kms from airport. 14.2kms toka City Centre.
Master Bedroom/Chumba cha Mgeni/Spacious Living Room/Public...
Mahindi tani 400 ziko tabata warehouse zinauzwa bei Tsh. 600 / kg.
Available maize 400 tons at a tabata warehouse- Dar es salaam , price Tsh. 600/kg.
+255652601602 (whatsApp & call )
We have an Organization known as Kinengunengu Agrovet Consultancy which basically made up of a group of retired Livestock and Agricultural professionals. Our goal is to train people, to start we...
Simu samsung galaxy s6 edge(Original ya Line Moja)
Dark blue in color.
Model no:SM-G92SF
Battery capacity:2600 MAh
Storage Capacity:65gb
Simu hii ilikuwa Brand New,NIMEITUMIA KWA MUDA WA MIEZI 6...
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni...
Hello marafiki,nauza simu hizi kwa bei nafuu sana na ni original kabisa, iPhone 6 s plus GB 64 700000 tu hakuna punguzo, blackberry passport 32 GB internal 200000 tu,nipo bukoba lkn tukielewana...
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Kwa mahitaji ya Nyumba za kupanga kununu, kuuza, viwanja mashamba n.k
Dar es Salaam
Usisite wasiliana nasi @
07850074040,
0767074040,
0714074040.
Karibu sanaaaa