Njoo ifakara lakini kwa ushauri wangu sogea mashambani zaidi kwa mjini Sasa hivi aushikiki bei juu Sana.....jaribu kufika mlimba, malinyi.... Alafu kwa Sasa hivi ndio tunaandaa mashamba na wengine washaweka mbegu ardhin ukija vibaya debe la mpunga utauziwa 15,000/=kwa sababu kilo YA mchele super kwa hapa ifakara ni 1,800/=Nahtaj mpunga kama gunia 50 mwenye nazo tufanye biashara
Pole sana mkuuuHabar humu ndani mwenzenu nimeibiwa pesa na mfanyakazi wa tigo
Mwachie munguHabar humu ndani mwenzenu nimeibiwa pesa na mfanyakazi wa tigo
Mwachie mungu