Local chicken training

Local chicken training

Kine3

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
331
Reaction score
175
We have an Organization known as Kinengunengu Agrovet Consultancy which basically made up of a group of retired Livestock and Agricultural professionals. Our goal is to train people, to start we thought it better to give priority in the case of local chicken because many people especially in rural and peri-urban are used to keep these chickens, but they lack the knowledge. So we ask potential fund partners in order to wide distribution of this knowledge especially for the rural elderly, women and orphans.

Thanks.

Call- 0715714234
- 0782714234
 
Unaowalenga wanaijua hiyo lugha? Ni udadisi tu.
 
Nilivyoona heading nikajua wanawafundisha kuku wa kienyeji chores mbalimbali kama SUA wanavyofundisha panya
 
Mungu ibariki Tanzania,watu wamekaa wametengeneza kamradi ka kujipatia vijisenti.Safi sana wakuu
 
Nilivyoona heading nikajua wanawafundisha kuku wa kienyeji chores mbalimbali kama SUA wanavyofundisha panya

hahaha! Na mie nikataka niwapeleke kuku wangu watatu training! Manake wanachakura garden yangu hadi basi!
Hebu mtoa mada muanzsihe na mafunzo kwa kuki. Kuna kuku wawili humu jf ntawalipia ada lol
 
Asanteeeeeeee Kamuzu!
Yaani nikiwa katikati ya hy thread swali kama lako likanijia.

Mkuu, mtu kama huyu ukimwambia ameshindwa kabla hajaanza, atarusha mawe. Namuomba tu azingatie ushauri wa bure.
 
hahaha! Na mie nikataka niwapeleke kuku wangu watatu training! Manake wanachakura garden yangu hadi basi!
Hebu mtoa mada muanzsihe na mafunzo kwa kuki. Kuna kuku wawili humu jf ntawalipia ada lol

Kin'gasti, una balaa weye yaani HUMU JF kuna kuku?
 
Jamani, ajizi ni nyumba ya njaa na utamu wa ngoma mpaka uingie ucheze, wala sio kamradi ka kutengeneza pesa tu. Hebu fanyeni majaribio ya kuunda kikundi cha watu wachache tu halafu nije kuwafundisha kwa gharama zangu muone matokeo yatakuwaje?
 
Mkuu hebu fufua huu uzi. Nataka kufahamu zaidi kuhusu kinengunengu
 
We have an Organization known as Kinengunengu Agrovet Consultancy which basically made up of a group of retired Livestock and Agricultural professionals. Our goal is to train people, to start we thought it better to give priority in the case of local chicken because many people especially in rural and peri-urban are used to keep these chickens, but they lack the knowledge. So we ask potential fund partners in order to wide distribution of this knowledge especially for the rural elderly, women and orphans.

Thanks.

Call- 0715714234
- 0782714234
Kinengunengu (brooder) ni kifaa cha kulelea vifaranga vya kuku ambacho nimekibuni mimi, kifaa hiki hakihitaji chanzo chochote cha nishati ili kuwapa joto vifaranga bali joto la vifaranga wenyewe huhifadhiwa ndani ya brooder na kuwafanya vifaranga wakue bila matatizo.
 
Nimeona YouTube kinavyotengenezwa lkn najiuliza kwa kilivyofungwa vile mule ndani vipi hewa ni ya kutosha kweli? Lakini pia kuna umuhimu wa kuweka taa kwaajili ya mwanga au hakuna?
 
Kina matundu ya kupitisha hewa kuzunguuka mduara wote, hakuna haja ya kuweka taa usiku wanalala tu ndani ya mduara na mchana wanashinda kwenye run ambapo wanapata maji na chakula, kumbuka Kinengunengu Brooder husaidia kuku wa kienyeji kuzaliana kwa wingi na kwa muda mfupi kwani kuku mmoja anaweza kutotoa mara 6-7 kwa mwaka badala ya mara 2 au 3.
 
Ok ni kizuri sana nimekipenda. Unapatikana wapi mkuu?
 
hahaha! Na mie nikataka niwapeleke kuku wangu watatu training! Manake wanachakura garden yangu hadi basi!
Hebu mtoa mada muanzsihe na mafunzo kwa kuki. Kuna kuku wawili humu jf ntawalipia ada lol
Kati ya watu wameniacha hoi leo ni wewe
 
Back
Top Bottom