Nauza simu yangu Huawei p8 lite

Nauza simu yangu Huawei p8 lite

Sudi jr

Senior Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
134
Reaction score
179
Mambo vipi wadau nauza simu yangu Huawei p8 lite,
Bei TSH 180000
Specifications
Condition mzuri na haina tatizo, nauza coz ninashida na pesa,
Double line
Camera iko poa front and rear
GB 16
Ukinunua nakupa na charger yake
Kwa mawasiliano naomba nichek PM
IMG_20180217_162940.jpg
IMG_20180217_163010.jpg
IMG_20180217_162940.jpg
IMG_20180217_163010.jpg
IMG_20180217_162940.jpg
IMG_20180217_163010.jpg
IMG_20180217_162940.jpg
IMG_20180217_163010.jpg
 
Simu moja wauzaji kibao..kunani nyuma ya hii simu?
 
Simu moja wauzaji kibao..kunani nyuma ya hii simu?
Umejuaje Kama ni moja, Ambayo wewe unasema,au umeona sinafana majina, kaulize madukani kwa nini simu zinazofanana wanauza maduka tofauti.
 
P8 Max ndio mpango mzima achana na hiyo lite!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom