Toyota Cresta Gx 80 Series Inauzwa 3.5 Milioni (Negotiable)

bonjov

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
735
1,791
Haidaiwi kibali chochote.
6 Cylinder
Gari tajwa hapo juu ni nzima haijawahi funguliwa injini.
Taa za mbele nzima na nyuma ni kubadilisha sababu ni za muda mrefu.
Inahitijika kuchomelewa kidogo upande wa nyuma kushoto na milango chini sababu ilisimama matumizi kwa muda mrefu.
AC inafanya kazi.
Radio nzima
Dashboard zima
Iko Pugu

Mawasiliano: 0712 201951
0743 727328



Picha.
 

Attachments

  • IMG_20170302_155201.jpg
    IMG_20170302_155201.jpg
    149.7 KB · Views: 112
  • IMG_20170302_155230.jpg
    IMG_20170302_155230.jpg
    175.1 KB · Views: 101
  • IMG_20170302_155255.jpg
    IMG_20170302_155255.jpg
    127.9 KB · Views: 102
  • IMG_20170302_155318.jpg
    IMG_20170302_155318.jpg
    114.3 KB · Views: 114
  • IMG_20170302_155558.jpg
    IMG_20170302_155558.jpg
    115.2 KB · Views: 93
  • IMG_20170302_155612.jpg
    IMG_20170302_155612.jpg
    185.7 KB · Views: 106
  • IMG_20170302_155628.jpg
    IMG_20170302_155628.jpg
    129 KB · Views: 94
  • IMG_20170302_155706.jpg
    IMG_20170302_155706.jpg
    186.9 KB · Views: 97
  • IMG_20170302_155725.jpg
    IMG_20170302_155725.jpg
    102.9 KB · Views: 99
  • IMG_20170302_155840.jpg
    IMG_20170302_155840.jpg
    133.7 KB · Views: 97
Tatizo wabongo exposure ya vyombo vya moto bado ni ndogo sana! Mkuu wasikukatishe tamaa hiyo gari utauza tuu..
 
Huyohuyo anaesema gari hiyo ni ya zamani hawezi nunua sababu ina namba "A" ukiibandika namba "D" gari hiyohiyo atanunua kwa kudhani ni mpya! Magari mengi wanayosema mapya ni ya kuanzia miaka 10 hadi ishirini iliyopita! Hayo ndio maajabu ya wabongo na ushamba wao katika magari!
 
Nimetokea kulipenda ila hela sina, nina uwezo wa kui pimp waloongea shit wote humu wakaomba lift.
 
Nimetokea kulipenda ila hela sina, nina uwezo wa kui pimp waloongea shit wote humu wakaomba lift.
Mkuu mie mwenyewe basi tu budget hairuhusu ila huo mchuma ningeuchukua fasta alafu ningeupimp balaa
 
Mkuu mie mwenyewe basi tu budget hairuhusu ila huo mchuma ningeuchukua fasta alafu ningeupimp balaa
Sure, ni gari flani ivi washkaji wakikuona nayo wanajua huyu magari kayajua kitambo, sio hawa wanaonza kuendesha vi baby sitter vyao vya mikopo alafu wanaanza kuleta dharau humu.
 
Sure, ni gari flani ivi washkaji wakikuona nayo wanajua huyu magari kayajua kitambo, sio hawa wanaonza kuendesha vi baby sitter vyao vya mikopo alafu wanaanza kuleta dharau humu.
Tena walivyo washamba na akili za kinyumbu wana -spend 9 million kununua Passo sababu namba ni D!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom