Used Router

Used Router

zimaroho

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
243
Reaction score
87
Jipatie kwa bei Chee 70,000
Mobile wifi router
Inachapakazi mitandao yote
Ni nzima aijawai kuwa na tatizo

a18413a234207fce3b59da0ca453132a.jpg
fe15a8073357efb8a9bab3525b0bae23.jpg
c2d1f71f0a69b3115b5c7224c940968e.jpg
 
Ila ni ya Vodacom?
Sasa kwa kuwa umeichakachua,ninaiblock nimeshaona details zake zote.
Badala ya kusema ya Voda,wewe unaleta ujanja wako wa kijijini Koromije!!
 
Ila ni ya Vodacom?
Sasa kwa kuwa umeichakachua,ninaiblock nimeshaona details zake zote.
Badala ya kusema ya Voda,wewe unaleta ujanja wako wa kijijini Koromije!!

Unajiona mjanja kumbe bonge la jinga,
Hizi huwa hazichakachuliwi ila zina setting unaset mtandao unaoutaka, acha kukariri kama kasuku.
 
Sasa hii ni biashara au ni uwanja wa mapambano?
Punguzeni mihemuko vijana tuchape kazi.
Mimi nilitaka ufafanuzi zaidi juu ya matumizi ya hicho kifaa, lakini nilipoona 'nzagamba mamba' zinatifuliana vumbi, imebidi nirudi nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom