Natafuta kituo cha mafuta (petrol station) cha kukodi

Natafuta kituo cha mafuta (petrol station) cha kukodi

SOUNDFU

New Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Habari members.
Natafuta kituo cha mafuta (petrol station) cha kukodi sehemu yeyote Tanzania hasa mikoani nje ya DSM. Kituo kiwe kinamilikiwa na mtu BINAFSI (Siyo kumilikiwa na makampuni ya mafuta ambayo yana masharti ya kununua mzigo wa kuuza toka kwao etc). Kituo kiwe sehemu nzuri yenye wateja (soko) mfano main road/highway. Kituo kiwe na miundombinu yote tayari kwa kuanza kazi. Yaani makubaliano na malipo ya kodi yakikamilika, kazi inaanza mara moja. Pia ikiwa una taarifa za kituo kinachohitaji marekebisho kidogo, naomba tuwasiliane ili niangalie uwezekano wa kufanya marekebisho kwa makubaliano na mmiliki. Kama una taarifa zozote, tafadhali naomba nitumie SMS/WHATSAP TU (USIPIGE SIMU TAFADHALI) namba 0754649597. Kwa mazungumzo zaidi (ikihitajika) nitakupigia simu muda muafaka.
 
Vituo Mbona viko vingi TU....sema biashara Hizi mwishowe hamkawi kupoteana

Ova
 
Back
Top Bottom