sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
Rafiki
Je, unamgahawa, sherehe ya aina yoyote, au unapenda kunywa juice safi yenye radha halisi na familia yako, je wewe uko mwenyewe home na unapenda juice halisi ya matunda,
Tunatengeneza na kuuza juice za aina mbalimbali kama vile embe, parachichi, juice ya tende, n.k
Juice ya embe na parachichi 10,000/- kwa lita tano
Juice ya tende 20,000/-
Pia tunapokea order ya aina gani ya juice unayoitaka
Mf; tende mchanganyiko wa maziwa halisi,
embe iwekewe tangawizi kwa mbali na parachichi
Tunakuletea ofisini kwako,
Note:
Unaruhusiwa kuonja kabla ya kulipa pesa