leroy
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,623
- 2,227
Habari wakuu.
Nahitaji gari ya IST namba ianzie D na kilometa zisizozidi 100,000. Gari isiwe na tatizo lolote lile. Vibali vyote viwepo.
Bajeti yangu ni Milioni 7 cash. Nipo Mbezi beach. Nikiridhika nayo ni hapo hapo naichukua leo. Ukiridhika njoo inbox.
Natanguliza shukran.