Naomba msaada wa kufahamu bei ya vifaa hivi

Naomba msaada wa kufahamu bei ya vifaa hivi

nkobhe255

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
234
Reaction score
292
Mimi ni RAIA mwema kabisa kutoka Tanzania-Kigoma,so ningependa kwa wataalam wanifahamishe bei ya vitu vifuatavyo na eneo vilipo.
1)Engine ya Toyo yenye 200cc na shaft yake.
2.Tairi za pikipiki
3)Injini ya BOXER.
4.Transmission ingine ya gari ndogo.

HITIMISHO
Kama kutakuwa na kapicha hapo ningefurahi zaidi. Aksanteni
 
Back
Top Bottom