Mkopo wa haraka unaitajika

Mkopo wa haraka unaitajika

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,039
Reaction score
3,613
Kuna Dada anatafuta mkopo wa laki tano .inarudi baada ya wiki tatu na riba ,itarudi laki saba.laki mbili riba.dhamana yake Duka lake kubwa la nguo lipo mbezi ya Kimara.ukiwa unaanza kupanda njia ya goba.thamani ya Duka kodi tu milioni sita.kwa aliye tayari ni pm nikupe namba zake
 
Akifunga duka na kuondoka na duka lake usiku itakuwaje?
Mimi natoa mkopo endapo atakubali niwe naye close kwa hizo wiki tatu,akisha rudusha pesa zangu ndio kila mtu atakuwa mbali na mwenzie.
Hakuna watu nawaogopa kuwaazimisha/kukopesha pesa kama wadada.
Mungu anisamehe kwa mawazo yangu!!
 
Yupo tayari kwa ilo.mnaelewana tu.ata ukiitaji upajue kwako unapajua.sio mtu wa kufunga Duka akimbie kwa ajili laki saba.maana Duka lenyewe ndo kwanza kaingia na kalipa kodi milioni tank na kujaza vitu
 
Yupo tayari kushea nami kitanda? Hiyo ndio maana ya kuwa close!! Kama yupo tayari leta namba na picha yake PM.
Mkuu wewe ni nani yake?
 
Yupo tayari kushea nami kitanda? Maana hiyo ndio maana ya kuwa close!! Kama yupo tayari leta namba na picha take PM.
Mkuu wewe ni nani yake?
Sidhani kama atakua tayar kuondoa utu wake kwa ajili ya shida.ila nisimsemee.njoo ijie pm namba yake .maana Mimi sio bwana ake wala mwenzi wake
 
Akifunga duka na kuondoka na duka lake usiku itakuwaje?
Mimi natoa mkopo endapo atakubali niwe naye close kwa hizo wiki tatu,akisha rudusha pesa zangu ndio kila mtu atakuwa mbali na mwenzie.
Hakuna watu nawaogopa kuwaazimisha/kukopesha pesa kama wadada.
Mungu anisamehe kwa mawazo yangu!!
Wala sio makosa yako ni usawa tu ndio unapelekea watu kuwa na mawazo kama hayo.
 
Back
Top Bottom