Msada Tutani...nahitaji mtu anaeihi Njombe haraka haraka

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
671
Reaction score
702
Kuna bidhaa za kilimo nataka kununua Njombe sasa nahitaji kuziona kwanza na kwa sasa niko mbali sana, je kuna mtu yeyote yuko njombe ani-PM aende kuzicheki kabla sijatumiwa mzigo... fedha ntamtumia nimpe tenda hii ya siku moja kukagua mzigo kabla haujaapakiwa.
 
Njombe ni Mkoa Mkuu. Njombe ina Makambako Makete Ludewa Wanging'ombe Njombe mji.... wewe ni Njombe ipi?
 
Kuna bidhaa za kilimo nataka kununua Njombe sasa nahitaji kuziona kwanza na kwa sasa niko mbali sana, je kuna mtu yeyote yuko njombe ani-PM aende kuzicheki kabla sijatumiwa mzigo... fedha ntamtumia nimpe tenda hii ya siku moja kukagua mzigo kabla haujaapakiwa.
aah ndauli mnyalukolo ve ulihwiya!!?
 
Back
Top Bottom