Jamani kulingana na usawa ulivo bana biashara dukani wateja wamepungua nataka nianze kuzunguka mitaani sasa basi naomba mnielekeze maeneo gani mazuri ambayo nitafanyia mzunguko wa biashara yangu...
habari wadau..
* kutokana na maoni ya wengi... tutakuwa na training ya tshirt printing.. ambayo itafanyika workshop karibu na mabibo hostel
Tshirt Garage Mabibo Hostel...
Mifugo huhitaji majani mabichi lakini pia makavu kwa ajili ya kuongeza ukuaji wa haraka lakini pia kuongeza kiasi cha maziwa kwa ng'ombe.
MAJANI HAYA YANAPATIKANA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA...
Wadau, mikopo ya biashara kwa wote wenye nia ya dhati...ni kuanzia mil 200 na kuendelea..inatoka ndani ya siku 21 tuu, no longolongo.
Nb: vitu vya kuzingatia ni dhamana-nyumba...
Used
♢screen 2.80 inch
♢storage 8gb
♢ram 768mb
♢battery capacity 1230mah
Location: dar es salaam
Call: 0752362207
Bei tshs 65,000/=
Picha zake halisi hizi hapa
Hii kauli ya bure imestua wengi kidogo ila ni kweli bure! kwa sababu bei utapanga wewe!!
Ni apple mackbook x os (rangi nyeupe) ilinunuliwa miaka mitatu iliyopitia kwenye mtandao wa amazon us$ 700...
1.Ujazo-Kg 5.
2.Umenyaji dakika 5-8.
3.Maji yanahitajika kwa mkupuo mmoja Lt 3.
4.Wastani wa Kg 150 kwa saa.
5.Umeme wa kawaida single phase.
volt 220-240
hospower 1
Walt 1,500 au 1.5KW...
Nauza kiwanja 20×20 kipo Kiluvya kilomita 1 kutoka lami kuu karibu na zahanati ya Kiluvya na shule ya sekondari bei yake milioni 3.5 mazungumzo yapo
Mawasilian
PAUA NA FUNDI MACLEAN
huduma Atoazo kwa wateja wetu.
-ushauri wa uchaguzi wa bati
-Kukatiwa bati kwa vipimo vya paa lako
-Kupaua paa (kwa makubaliano wa bei)
-Tathimini na upimaji wa...
Includes:
8.5" x 11" PROformance™ DD submersible searchcoil, that you may use in streams, water, ponds, it is water proof
Premium volume-control land headphones (waterproof headphones sold...
Habari zenu wakuu,
kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua shirika au kampuni binafsi hapa Tanzania ambapo naweza kupata METAL DETECTOR / GOLD METAL...
nimejaribu kuuza kwa njia ya mnada kupitia hii link Samsung galaxy mega GT-I9200 kwa kiasi chochote cha pesa ulicho nacho!! ila naona watu wanaogopa kutaja dau zao, na waliotaja kama hawapo...