canular
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,071
- 1,284
Jamani kulingana na usawa ulivo bana biashara dukani wateja wamepungua nataka nianze kuzunguka mitaani sasa basi naomba mnielekeze maeneo gani mazuri ambayo nitafanyia mzunguko wa biashara yangu? Isipokua mwenge na makumbusho coz jinsia ya kike ktk mazingira hayo niliotaja wao wanaendekeza sana mapenz kwenye biashara hivo bas naomba kujuzwa ni mazingira yapi ambayo ni mazuri ktk biashara hii ya kutembeza nguo kwa mtaani?
Aina ya mikato au nguo ninazotaka kuanza kuzungusha ni katalog, skin,vipensel,top,vibajaj,magaun,staff dress,mikoti na type nyingine nyingi tu hivo bas naomben mnielekeze ndugu yenu ili niendelee kujikwamua wakati nikisubilia ajira za baba.
Jeska