Pesa Chap chap.....Mikopo ya biashara kwa wooote.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wadau, mikopo ya biashara kwa wote wenye nia ya dhati...ni kuanzia mil 200 na kuendelea..inatoka ndani ya siku 21 tuu, no longolongo.

Nb: vitu vya kuzingatia ni dhamana-nyumba iliyovizuri...kwa maelwzo zaidi please call 0756 517588 or 0782 517588 any time.
 
JAMANI MBONA SASA MAMBO NI SAFI? JE NI BANK GANI HII INATOA MIKOPO MIKUBWA HIVYO?
VITU GANI NAPASWA KUWA NAVYO ILI NIKUBALIWE MAOMBI YANGU?
ASANTE KUNIJIBU:rockon:
 
Huu ndo utapeli mpya mjini au? ukienda bank unataka mkopo wa mil 10 tu unaambiwa upeleke vielelezo kibao. sasa wewe unazungumzia mil. 200 kama vile ni shs. 5?
BOT yenyewe imefulia, sasa hiyo kampuni ndo inataka kurudisha fedha zile za uswizi kwa style hii?
 
Inaweza ikawakw eli kwa sababu benki nyingi zinashindwa kukopesha wakopaji wadogo wadogo- chini ya 50m - kwa kuwa sio walipaji wazuri wanvyo dai. Ila huyu mkuu inabidi afunguke zaidi atujuze jina la benki, masharti, riba, maximum mda wa kulipa mkopo nk
 
ni benki kaka...
 
ua very right my brother

.
 
Huenda huyu jamaa ni relationship manager na yupo kazini kutafuta wateja, mbona huo mkopo ni wa kawaida sana kwa level ya SME? na kama umesoma maelezo yake ni kwamba ukitimiza vigezo vyote unapewa pesa yako ndani ya siku 21

Back
Top Bottom