Trainings za Tshirt printing classes, proffessional photography, satellite dish setting na graphics designing

Trainings za Tshirt printing classes, proffessional photography, satellite dish setting na graphics designing

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,504
Reaction score
36,164
habari wadau..

* kutokana na maoni ya wengi... tutakuwa na training ya tshirt printing.. ambayo itafanyika workshop karibu na mabibo hostel
Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos

ada ni laki 2 za kitanzania kwa 10 days.... tutacover njia zote za kuprint tshirts

* Pia tutakuwa na training ya proffessional photograph, tutafundisha basic ya picha za kisasa.. kuanzia kupiga, light setting na photo retouching... training ni 10 days ada ni laki 2 za kitanzania
training itafanyika in our photo studio karibu na mabibo hostel

Photo_ studio_mabibo_hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos

* Pia tutakuwa na training fupi fupi za satellite dish installation, jinsi ya kufunga dish la dstv, azam au lolote toka mwanzo.... vifaa vipo vya kisasa kuanzia signal finder, meter , dish za kila aina... training hii pia itafanyika Kibanda Umiza mabibo hostel... a full practical training.. haya mafunzo yatagharim laki 2 kwa siku 10

* Graphics designing training... hii tutacover adobe illustrator, adobe photoshop, indesign , na adobe premier pro... kila software basic training yake itakuwa laki mbili kwa mwezi mmoja...

karibuni sana nyote..... hasa wenye nia ya kujiajiri wenyewe..

for more info call us 0718 537 216
 
ada ni laki 2 za kitanzania kwa 10 days.... tutacover njia zote za kuprint tshirts

Hahahahahahahahaaha, Nilidhani una upendo wa dhat kwa watanzania, laki 2 kuprint TSHIRTS? kuweka mchoro juu ya tsheti na kumwagia wino ndio iwe laki 2???

Wajinga ndio waliwao
 
mliozoea kuwaibia kwa forex... ndio mnawapenda sana watanzania.. jp markets...

unahisi wino huo unaoumwagia wanakuja nao au... na hizo plain tshirt zinazomwagiwa wino...

hizi ni kazi za jasho zinataka watu wa kazi.. sio wapenda vya bure kudownload hela huku wamekaa na laptop zao.....

mabishoo wanaoogopa kuchafuka ndio mnawaibia na forex zenu... mwisho wa siku wanawatukana mitandaoni... janja janja wa forex mwaka wenu huu

na watanzania wameshtuka forex yenu..

tsht za 7000 za manga ndio useme laki 2??? kwa kichwa???

Endelea kijana kuwapiga hizo laki 2, umekuja vizuri kweli
 
nenda veta kaulize ada bei gani... au nenda udsm creative arts department uliza ada bei gani kisha urudi hapo... unajua bei ya mashine ya embroidery wewe?? au bei ya screen printing carausel au bei ya direct to garmet printer.... au unafikiri wanajifunza kwa ujanja ujanja kama forex yenu... na jp markets??

hakuna anaelazimishwa.. hata youtube anaweza jifunza kwa video.. wanaotaka practical wataenda kujifunza kwa wenye vifaa na ujuzi...

nimekuwekea attachment hiyo ya majuu... siku 3 tu ni usd 395

tsht za 7000 za manga ndio useme laki 2??? kwa kichwa???

Endelea kijana kuwapiga hizo laki 2, umekuja vizuri kweli
 
Attachments

  • tshirt.jpg
    tshirt.jpg
    20.3 KB · Views: 78
Wazo zuri mkuu. Lakini sidhani kama kufubdisha ntyAi au Ps ndani ya mwezi mmoja inatosha. Hata kama ni basic training. Ndiyo maana wadau wanalalamikia value for money ya hizi short trainings zako.
 
Binafsi nina interest ya hivi vitu. Hasa upande wa graphics designing na photography. Nimejifunza mwenyewe from scratch. Lakini ilinichukua muda mrefu kdgo kujifunza Ai Ps na Lr. Pia nataka niingie kwenye apparel business kwa kutumia direct to garment method na screen printing. Ila ni wazo zuri sana kujifunza kutoka kwa mzoefu rather than self taught coz utapunguza all the hassle.
 
unahisi watu huwa wanajifunza mwaka mzima... unaelewa maana ya basic training...

mimi nimejifunza mwezi mmoja tu sisi workshop india hyderabad... na nimerudi tz nikaanza fanya kazi na vingi sana najifunza kila siku hata kwa youtube.. hizi software wanaziupgrade kila mwaka kuna vitu vinaongezeka na kubadilika.. kwa mtu mwenye msingi ukiangalia hata youtube tu unaelewa hapa pamekuwaje... ila ukiwa huna msingi huwezi elewa....

ungeuliza wale wanaofundisha forex wiki moja na wanaaanza kukusanya pesa.. kina Myahudi Jr II wanafanyeje watu waelewe kwa wiki moja na kuwalia pesa zao....

hata veta mafunzo ni mwezi mmoja tu... hata huko majuuu training nyingi ni fupi tu tumia google uone

Wazo zuri mkuu. Lakini sidhani kama kufubdisha ntyAi au Ps ndani ya mwezi mmoja inatosha. Hata kama ni basic training. Ndiyo maana wadau wanalalamikia value for money ya hizi short trainings zako.
 
Ninauza Machine ya embroidery unaweza kutumia bila hata kuunganisha na Computer na Ukaprint kitu hii inawafa hata mafundi cherehani wale wakubwa: Ina Touch Screen, pia inasehemu ya kuchomeka flash
Bei 1,700,000/=
Brand (Brother ES400 bado mpya kabisaa haijawah kufanyakazi zaidi ya kutestiwa niliipokea kutoka E-bay
Tafadhari anza kuingia youtube ucheck function zake kabla ya kunitafuta Nipo Dsm hapa hapa

Nicheck hapa 0658 060 476
 
ni vizuri ungeanzisha uzi jukwaa la matangazo madogo.... kwa ushauri tu brother se 400 sio kwa ajili ya commercial use.. ni for home use... huwezi ukaenda workshop ya printing ukakuta mtu anatumia brother hizo ndogo kama chereheni.. na bei yake ni haizidi usd 400 hata dar zinapatikana sana tu pale veta kwa milion 1

kwenye business tunatumia level ya kuanzia single head... na kuendelea...

Ila mimi nakupongeza kwa hicho ila jifunze, kuna kitu fulani unakikosa kila mtu anachukua anachoona ni sahihi kwake, kama ningekua na mambo ya IT ningekuja kusoma graphics and designing

wote tu vijana tunatafuta kesho yetu
 
ni vizuri ungeanzisha uzi jukwaa la matangazo madogo.... kwa ushauri tu brother se 400 sio kwa ajili ya commercial use.. ni for home use... huwezi ukaenda workshop ya printing ukakuta mtu anatumia brother hizo ndogo kama chereheni.. na bei yake ni haizidi usd 400 hata dar zinapatikana sana tu pale veta kwa milion 1

kwenye business tunatumia level ya kuanzia single head... na kuendelea...
Mkuu sijasema kma hii machine ni kubwa hii ni kwa mtu mdgo na unaposema kwa million 1 unaongopa tukutane unipeleke hiyo sehemu nimeagiza nje mpaka inafika hapa 2.5 million acha uongo kaka cyo heat press hii pia usilete kama dharau coz mm cjakudharau ila nimechomekea hii post kwa mtu akitoka kujifunza kwako anaweza kuanza na hii mdgo mdgo ana akapata hela vile vile mpk hapo baadae akapoweza kumiliki machine ambazo heavy duty sijaweka hii post kwa lengo la kukuharibia ila kwa lengo la mtu ambaye anaanza na hana capital kubwa ndo maana sijaweka daut kwa jambo lolote uliloandika hapo zaid ya kusema nauza hii machine nafikiri umenielewa mkuu
 
tatizo lako unapaniki unajua kwa nini imefika milion mbili na laki 5.. kwanza umenunua nchi zenye uchumi mkubwa.. unajua kama bidhaa hiyo hiyo aina moja inauzwa bei tofauti.. ikiwa nchi au sehemu tofauti... brother ni wajapan na wanafanyia manufacturing china na baadhi ya nchi za asia kama ilivyo sony... ila najua wewe hujanunulia japan.. umeagiza from europe au north america... hapo umenunua na bei ya usafiri na kodi kutokea japan hadi uko europe au usa... ilo ni kosa ambalo mfanyabiashara makini huwa halifanyi...

ukitaka bidhaa ikufikie kwa gharama nafuu nunulia asia... na safirisha kwa meli

pili umesafirisha kwa ndege kuja Tanzania.. kitu ambacho gharama ni kubwa zaidi wafanyabiashara makini wanasafirisha vitu kwa meli ... tatu TRA wamekupiga kodi kubwa maana huwa wana calculate kwa CIF ambayo yako imekuwa kubwa...

makosa umeyafanya mengi sana nakuelekeza unakasirika... na kosa kubwa kuliko yote ni kununua kitu ambacho kabla hujakitumia unataka kukiuza.. hapo unaonesha hauko makini pia..

nenda veta ulizia Mr mlokozi atakuelekeza wapi ukafate hiyo brother se 400 kama una milion moja cash

Mkuu sijasema kma hii machine ni kubwa hii ni kwa mtu mdgo na unaposema kwa million 1 unaongopa tukutane unipeleke hiyo sehemu nimeagiza nje mpaka inafika hapa 2.5 million acha uongo kaka cyo heat press hii pia usilete kama dharau coz mm cjakudharau ila nimechomekea hii post kwa mtu akitoka kujifunza kwako anaweza kuanza na hii mdgo mdgo ana akapata hela vile vile mpk hapo baadae akapoweza kumiliki machine ambazo heavy duty
 
tatizo lako unapaniki unajua kwa nini imefika milion mbili na laki 5.. kwanza umenunua nchi zenye uchumi mkubwa.. unajua kama bidhaa hiyo hiyo aina moja inauzwa bei tofauti.. ikiwa nchi au sehemu tofauti... brother ni wajapan na wanafanyia manufacturing china na baadhi ya nchi za asia kama ilivyo sony... ila najua wewe hujanunulia japan.. umeagiza from europe au north america... hapo umenunua na bei ya usafiri na kodi kutokea japan hadi uko europe au usa... ilo ni kosa ambalo mfanyabiashara makini huwa halifanyi...

ukitaka bidhaa ikufikie kwa gharama nafuu nunulia asia... na safirisha kwa meli

pili umesafirisha kwa ndege kuja Tanzania.. kitu ambacho gharama ni kubwa zaidi wafanyabiashara makini wanasafirisha vitu kwa meli ... tatu TRA wamekupiga kodi kubwa maana huwa wana calculate kwa CIF ambayo yako imekuwa kubwa...

makosa umeyafanya mengi sana nakuelekeza unakasirika... na kosa kubwa kuliko yote ni kununua kitu ambacho kabla hujakitumia unataka kukiuza.. hapo unaonesha hauko makini pia..

nenda veta ulizia Mr mlokozi atakuelekeza wapi ukafate hiyo brother se 400 kama una milion moja cash
Mkuu usiseme sipo makini hunijui ckujui na hujui kwnn hiyo machine inauzwa imaana kila mtu anayeuza kitu chake hayupo makini hata kama hajakitumia?? hapo umefeli wangapi wamenunua magari leo na wanauza kesho.
Watu wanauza nyumba za kulala na wanaenda kupanga itakuwa mimi ninayeuza embroidery machine hahahahhahaaa we jamaa ni hatari
 
Back
Top Bottom