Wakuu habari za leo.
Nahitaji kiwanja chenye hati na kinachomilikiwa kihalali.
Maeneo yawe ni Mbezi Beach au Africana au Goba.
Anayeuza tafadhali anitajie bei kabisa PM ili kurahisisha maamuzi ya...
Asalaam aleikhum ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi, matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya na mnaendelea na gurudumu la kusukuma Maisha. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Kiwanja...
1977 Toyota Stout
ipo kwenye hali nzuri sana, roho ya paka, engine ni standard, inabeba gunia 35 za mahindi bila wasiwasi, linafaa kwa mkulima hodari au mfanya biashara wa mazao. 0717 200 575...
Kwema ndugu zangu.
Naomba kupata update za wapi nitapata muuzaji wa jumla.wa mayai ya kisasa.
Nahitaji kuingia kwenye hiyo biashara.
Napatikana tabata.
Thank u
JMK ROYAL SERVICES AGENT NO A-002 WA SUN SHARE.Wanakuuzia bati kwa price list ya kiwanda.
...............................................................
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)...
Friji kubwa aina ya samsung inauzwa kwa bei ya Tsh. 500,000. Inafaa kwa matumizi ya nyumbani au biashara, Friji inapatkana Dar es Salaam. Ina partition mbili, juu inapooza na chini inagandisha...
Habarini wakuu
Hapa naizungumzia pasi ya nguo philips
Maker : Phillips
Model name:vintage
Model no: 1120/B
Manufacture year:1980
Wakuu hii kitu alinunua marehemu baba yangu soon to alipooana na...
Habari naomba nikusaidie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo ni rahisi sana andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba Leseni ya biashara ,2. TIN no 3...
Ngurue walio certified pure large white wanauzwaa kwa being nzuri arushaa. Kwa mawasiliano. Tutafute kuptiaa 0756787474/0743955630. Karibuni pkaa watoto wazuri wenye miez 3 waapatikanaa pkaa.
Kwa wale wenye halotel kwa shilingi 7500 unapata gb 12 sms1800 na dakika 175 za kupiga mitandao mingne kwa mwez mzma kama unaitajiii ni chekii
karibuni
Update:
Offer kwa leo tarehe 14 imeisha...
Habari wadau,
Niko nafanya mchanganuo wa kufungua Biashara.
Ninahitaji mashine zifuatazo:
Mashine ya kufua upepo,na mtungi wake inayowaza kujaza matairi ya magari ya kutumia petrol na umeme...
Wana jamii naomba niwatambulishe vijana wanaofanya branding ya vifungashio (paper packaging) vya karatasi vya 1Kg, 2Kg,5Kg n.k ili kuongeza thamani ya bidhaa yakounaweza ukacheki nao # 0765858758...
Nilikalibishwa maongezi ya kibiashara na mfanyakazi mmoja wa kampuni ya Lifecase wanauza belt za kupambana na tatizo la kibamia. Akaniambia ninue kwa jumla kwa 35,000/= niuze kwa elfu hamsini...
Mambo vp nilikuwa na shida ya vifungashio anaejua WAP ninaweza kuvipata vifungashio vya vyakula mfano kama vile vya diamond Karanga au chipsy snack naomba anijuze au ni kampuni gani ambayo...