101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,256
Habarini wakuu
Hapa naizungumzia pasi ya nguo philips
Maker : Phillips
Model name:vintage
Model no: 1120/B
Manufacture year:1980
Wakuu hii kitu alinunua marehemu baba yangu soon to alipooana na bi.mkubwa kipindi hiko aliiagiza kutoka holland direct sikumbuki alitumia shilling ngapi mpaka huu mzigo kufika ila tangu walipofunga ndoa 1981 mpaka leo hii bidha bado inapiga kazi
Mimi nimeirithi 2013 na bado inapiga kazi licha ya wife kununua michina kadhaa iliyokwisha jifia inamuacha huyu kidume Phillips vintage bado kinapiga kazi
Nimekicheck kwenye mitandao mbalimbali nimeikuta eBay ikiwa inauzwa EUR 100€ ambayo kama ni laki mbili na kadhaa ya tz kwa pesa zetu za madafu
Ushauri
Kama.unataka pasi basi itafute hii Phillips ndio alama ya ubora
Hii si promo ila ni ushauri tu kumuepuka mchina kwenye vifaa muhimu kama hivi vya utanashati