ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,346
- 4,611
Habari wadau,
Niko nafanya mchanganuo wa kufungua Biashara.
Ninahitaji mashine zifuatazo:
Niko nafanya mchanganuo wa kufungua Biashara.
Ninahitaji mashine zifuatazo:
- Mashine ya kufua upepo,na mtungi wake inayowaza kujaza matairi ya magari ya kutumia petrol na umeme
- Welding Mashine
- Mashine ya kuoshea magari ya kutumia petrol na umeme