Kiwanja kinauzwa vikindu

K

kakamgeni

Member
Joined
Feb 1, 2018
Messages
90
Likes
47
Points
25
K

kakamgeni

Member
Joined Feb 1, 2018
90 47 25
Asalaam aleikhum ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi, matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya na mnaendelea na gurudumu la kusukuma Maisha. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Kiwanja kinauzwa kipo Mbagala Vikindu karibu na Shule ya Msingi ya Vikindu na Chuo cha uuguzi cha Vikindu. Ukubwa wake ni 102 kwa 82. Hakina shida yeyote kimepimwa na kina nyaraka zake zote.

Umbali kutoka Kituo cha mabasi Vikindu mpaka kufika kwenye Kiwanja ni takribani Mita 50. Huduma za msingi zimefika ikiwemo Maji, Umeme na Barabara ya kuingia gari kubwa na ndogo bila usumbufu wowote ule.

Nimeambatanisha picha za kiwanja na video fupi ili kama utakuwa umevutiwa nacho tuweze kuwasiliana kwa simu namba : +255 629 22 76 97. Bei ya kiwanja ni Milioni 13(Mazungumzo yapo).

Kwa wale wageni wa Vikindu ni kwamba, ukifika Mbagala kama unatumia Usafiri wa daladala unapanda gari za Vikindu unashuka mwisho wa gari.

Wale wenye Magari binafsi pia ukifika Mbagala Rangi tatu unanyoosha moja kwa moja mpaka kwenye Kiwanda cha Bakhresa kwa Mbele utakutana na kituo cha Mabasi Vikindu unaingia kulia.
 
Attachments:

KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Messages
6,869
Likes
5,452
Points
280
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2016
6,869 5,452 280
Asalaam aleikhum ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi, matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya na mnaendelea na gurudumu la kusukuma Maisha. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Kiwanja kinauzwa kipo Mbagala Vikindu karibu na Shule ya Msingi ya Vikindu na Chuo cha uuguzi cha Vikindu. Ukubwa wake ni 102 kwa 82. Hakina shida yeyote kimepimwa na kina nyaraka zake zote.

Umbali kutoka Kituo cha mabasi Vikindu mpaka kufika kwenye Kiwanja ni takribani Mita 50. Huduma za msingi zimefika ikiwemo Maji, Umeme na Barabara ya kuingia gari kubwa na ndogo bila usumbufu wowote ule.

Nimeambatanisha picha za kiwanja na video fupi ili kama utakuwa umevutiwa nacho tuweze kuwasiliana kwa simu namba : +255 629 22 76 97

Kwa wale wageni wa Vikindu ni kwamba, ukifika Mbagala kama unatumia Usafiri wa daladala unapanda gari za Vikindu unashuka mwisho wa gari.

Wale wenye Magari binafsi pia ukifika Mbagala Rangi tatu unanyoosha moja kwa moja mpaka kwenye Kiwanda cha Bakhresa kwa Mbele utakutana na kituo cha Mabasi Vikindu unaingia kulia.
Mbona hiyo picha ya kiwanja na video fupi haipo kwenye bandiko?
 
H

Hechinodemata

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
904
Likes
1,297
Points
180
H

Hechinodemata

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
904 1,297 180
Umekua mstaarabu sana, lakn weka bei kabisa na hako kapicha na video kama ulivyosema, ukweli Wa biashara unaanzia mdomoni, bila shaka hivyo vipimo ni futi
 
K

kakamgeni

Member
Joined
Feb 1, 2018
Messages
90
Likes
47
Points
25
K

kakamgeni

Member
Joined Feb 1, 2018
90 47 25
Umekua mstaarabu sana, lakn weka bei kabisa na hako kapicha na video kama ulivyosema, ukweli Wa biashara unaanzia mdomoni, bila shaka hivyo vipimo ni futi
Bei nimeshaweka sambamba kabisa na Picha za kiwanja. Video imenipa changamoto kidogo kwenye ku-upload
 
Forum statistics

Threads 1,235,244
Members 474,449
Posts 29,215,091