Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kichwa kilivyojieleza, Mimi ninaishi Mwanza nilikua nahitaji kwa mtu mwenye ujuzi wa kunifundisha jinsi ya kushona mazulia, hereni na cheni za shanga anifundishe niko tayari kumlipa ili...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
REAL ESTATE AGENT (WAKALA WA MAJENGO) Wakala wa Majengo (Estate Agent), hawa ni wataalamu wa soko la nyumba ambao ni muhimu katika kukutafutia nyumba ya stahili yako na ndani ya bajeti yako...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kazi hizi nazifanya na zinaniingizia zaidi ya 200,000 kwa siku.huhitaji elimu yoyote ili kuvijua bali tunahita mda wako tuu. _kuweka app playstore _kuunda blog kwenda website _kuunda blog kwenda...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamii.. Nina shamba langu la hekari 3, lipo mpakan mwa Pwani na Morogoro.. Ukitoka Msolwa kama unaenda morogoro.. Ni Km3 kutika barabara kuu ya lami iendayo Moro. Ndio...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Iwe mpyaaaaa SITAKI USED Kama una duka unaziuza nitafute 0657445777 .....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye TECNO K7 iwe imetumika sio zaid ya miez miwili. Yangu ni SAMSUNG J7 GALAXY ina mwaka mmoja net. Na iko vizur 100%. Naipenda tecno ndio maana nimeamua hivi. Kama uko oky tuwasiliane.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumaini hamjambo wadau wa mashairi na fasihi kwa ujumla. Baada ya kumaliza kuandika kitabu changu cha ushairi kwa lugha ya kiingereza kinachoitwa 'SONGS OF AFRICAN FATHERS' kitabu hiki...
1 Reactions
2 Replies
689 Views
Ni MPYA na za KISASA KABISA. Zipo mbili ktk eneo moja lenye utulivu wa kutosha. Ziko ndani ya Fence. Vyoo vya ndani. Kila moja ina vyumba VIWILI, kimoja ni Master Bedroom, sebule na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari Wana-JF!! Viwanja vinauzwa New Arusha City Katika Manispaa ya Arusha...Umbali wa eneo ni ~7Km kutoka Arusha Airport na ~1Km kutoka nyumba MPYA za NHC zilizofunguliwa karibuni na Mhe Waziri...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Gari aina ya Toyota Noah new model ya mwaka 2005 Cc1990, inatumia petrol, imetembea kilomita 165000. Kwa mawasiliano piga sim kwa namba 0657469664. Bei inataka 6.5milion. Gari haina tatizo yoyote...
2 Reactions
18 Replies
15K Views
Kwa wale wanaohitaji kununua viazi mviringo kutoka mkoani Njombe tuwasiliane. 0754004189
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ipo katika hali nzuri, inafanya kazi, inatumia umeme, made in India. Bei 150,000. Nicheck inbox tufanye Biashara kama upo interested. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
5K Views
NAuza laini ya mpesa.... Tigo pesa... Halopesa na lipa Kwa Mpesa Jina ni moja. Ncheki kupitia k0717250984/0620163695 Nipo Kimara Suka. Jumla zote 430000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namba yangu +255 764 811 295 nikuelekeze
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna shamba ekari moja masemele Buswelu bei mil 4.5 Kuna shamba ekari mbil kasoro 150*85 liko isanzu ilalila Buswelu bei Mil 5 .5 Kiwanja 27*40 Buswelu mil sita Pia kuna kiwanja buswelu 28*16...
1 Reactions
40 Replies
16K Views
Samsung galaxy j7 prime 32gb internal MPYA inauzwa tshs 380k Haina boksi ipo Dar 0656181058
0 Reactions
7 Replies
2K Views
-Iwe mint condition kila kitu chake sio muhimiu sana . -muhimu simu,uknpa vingne km bonus bado fresh. . -Budget yangu laki mbili (200,000),200k . comment au Pm tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Huu waya ninaweza upata wapi kwa hapa dar!?
0 Reactions
11 Replies
48K Views
Kitanda ni kigumu na hakijatumika sana, kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo Bei 200,000! Nipo Dar es salaam kwa atakae hitaji nitafute namb >> 0766166483
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza kiwanja changu kilichopo kibaha kwa matias kina ukubwa wa 60 urefu na 30 upana na kipo umbali wa km 3 kutoka barabara kuu..bei ni mil9 ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…