Ole-Sabaya
Member
- Nov 19, 2017
- 26
- 14
Habari Wana-JF!! Viwanja vinauzwa New Arusha City Katika Manispaa ya Arusha...Umbali wa eneo ni ~7Km kutoka Arusha Airport na ~1Km kutoka nyumba MPYA za NHC zilizofunguliwa karibuni na Mhe Waziri. Hakuna msongamano wa makazi na ni eneo tulivu. Bei ni Tshs 30,000/= kwa Square Mita. Kwa mawasiliano zaidi...njoo inbox au piga 0786224248.