Msaada: Nahitaji mtu wa kunifundisha kushona mazulia

Msaada: Nahitaji mtu wa kunifundisha kushona mazulia

diannajohn

Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
76
Reaction score
8
Kama kichwa kilivyojieleza,

Mimi ninaishi Mwanza nilikua nahitaji kwa mtu mwenye ujuzi wa kunifundisha jinsi ya kushona mazulia, hereni na cheni za shanga anifundishe niko tayari kumlipa ili niweze kufahamu, itaku vizuri kama mtu huyo atakua Mwanza ili iwe rahisi kujifunza vizuri.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom