Nauza Shamba langu Heka 3, (350,000/= @ 1)

Toddy M

Senior Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
105
Reaction score
95
Habari zenu wana jamii..
Nina shamba langu la hekari 3, lipo mpakan mwa Pwani na Morogoro.. Ukitoka Msolwa kama unaenda morogoro..
Ni Km3 kutika barabara kuu ya lami iendayo Moro.

Ndio nilikuwa naliandaa kuanza kulima ila ninepata, respond ya Scholarship to Sweden.. Nahitaji hela ya kujazia nauli.. Ndio maana nauza bei ya kutupa.

Bei 350,000/= kwa heka 1 ila nauza zote3 kwa mkupuo ziuzi moja moja.

Ardhi inarutuba haijaguswa 7yrs..
Mazao yote yanakubali, udogongo mzuri

Wasiliana na mm kwa simu
0625962883
 
Kwa kuwa wamejua unashida lazima wakushushe zaidi na utauza bei chini ya hiyo.
 
Najua udogongo [emoji117] umechapia kwa bahat mbaya (slip of a pen) ni kawaida kwa simu za smartphones.

[emoji666] "Ziuzi" ......kweli mkuu Toddy ndo kiswahili hichi tutawarithisha watoto wetu??? Pwani bhana.
 
Simu uangu ukimaliza neno inajibadili ukiweka space ili umove ahead lugha inajibadili kulingana na saving of words poij.. So just get concept iliyo kusudiwa.. Achana na obviously things.. Tick to the intended msg..
 
Kwa kuwa wamejua unashida lazima wakushushe zaidi na utauza bei chini ya hiyo.
Hahaha litabaki mpaka nitmrudi nauli siyo issue sana.. Minimum kutoliacha tu idle jamii yakule Wanaweza niingiza mjini wakijua sipo inchin..
 
Habari zenu wana jamii..
Nina shamba langu la hekari 3, lipo mpakan mwa Pwani na Morogoro.. Ukitoka Msolwa kama unaenda morogoro..
Ni Km3 kutika barabara kuu ya lami iendayo Moro.

Ndio nilikuwa naliandaa kuanza kulima ila ninepata, respond ya Scholarship to Sweden.. Nahitaji hela ya kujazia nauli.. Ndio maana nauza bei ya kutupa.

Bei 350,000/= kwa heka 1 ila nauza zote3 kwa mkupuo ziuzi moja moja.

Ardhi inarutuba haijaguswa 7yrs..
Mazao yote yanakubali, udogongo mzuri

Wasiliana na mm kwa simu
0625962883
9d3427e358c1a94db5756cbd72908950.jpg
 
Maji ni wewe kuchimba ukitaka.. Ila wenyenyeji wanalima kwa kutumia mvua.. Hadi matikiti wapembeni yangu analima...

Nimekuelewa mkuu, najua kuchimba kunahusika ila nilitaka kujua usawa wa maji kupatikana. Kilimo cha mvua ila cha umwagiliaji kinapendeza zaidi, niwe tu mkweli hiyo ni bei rahisi sana hasa kama kunafikika kwa usafiri wa gari.

Umeshaweka picha na habari zote muhimu, sasa hapo wasingizie kingine sasa...
 
Habari zenu wana jamii..
Nina shamba langu la hekari 3, lipo mpakan mwa Pwani na Morogoro.. Ukitoka Msolwa kama unaenda morogoro..
Ni Km3 kutika barabara kuu ya lami iendayo Moro.

Ndio nilikuwa naliandaa kuanza kulima ila ninepata, respond ya Scholarship to Sweden.. Nahitaji hela ya kujazia nauli.. Ndio maana nauza bei ya kutupa.

Bei 350,000/= kwa heka 1 ila nauza zote3 kwa mkupuo ziuzi moja moja.

Ardhi inarutuba haijaguswa 7yrs..
Mazao yote yanakubali, udogongo mzuri

Wasiliana na mm kwa simu
0625962883
Mku naomba kujua kidogo hilo Shamba lipo mpakani mwa pwani yaani Bagamoyo au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom