Mashine ya kushona viroba inauzwa

Mashine ya kushona viroba inauzwa

Ng'onyo

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
146
Reaction score
75
Ipo katika hali nzuri, inafanya kazi, inatumia umeme, made in India.
Bei 150,000.
IMG_20170728_091900.jpg
IMG_20170728_091922.jpg


Nicheck inbox tufanye Biashara kama upo interested.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukuu toa maelezo mazuri hasa capacity yake, tu wengi ambao tupo interested!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unahitaji kujua capacity yake katika utendaji kazi au uundwaji wake?
Anyway kama ni uundwaji refers kwenye picha niliyo pin na post yangu utaona maelezo katika mashine japo kwa uchache.
Ila pia katika utendaji kazi iko vyema mfano kiroba kimoja inashona kwa sekunde zisizozidi 10. Kwahiyo unaweza ona viroba 100 itashona kwa muda gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani naomba ufafanuzi jinsi inavofanya kazi

Tuyaache kama yalivyo
 
Back
Top Bottom