Tunahitaji Laptop zitakazo saidia kuendesha workshop Dar es salaam, ziwe katika hali nzuri HP na Dell zisiwe feki na speed nzuri sana, hakikisha ina antivirus. tutazitumia kwa siku 20 tutalipa sh...
Tunauza scientific calculator FX-991 MS kwa shilingi elfu kumi na tano tu.
Huna haja ya kwenda kwa wahindi wakuuzie calculator hii hii kwa elfu ishirini
na tano au elfu thelathini. Hiyo ni bei...
This is a used iphone; in good working condition. All its accessories are in its original box
Price: Tsh. 1,100,000/=
From Dodoma Urban. Shipping quote will depend the buyer’s shipping type...
Habari,
Jipatie mashine mpya ya kibiashara kwa ajili ya juice natural.
Mashine inakamua na kuchuja yenywewe bila ya kueka maji yaani 100% natural juice
Inanguvu 550W
Imetengenzwa kwa stainless...
Habari ndugu,
Kama unawaza kujenga ya makazi yako ya kudumu anza kununua kiwanja kwanza.
Na kama unawaza kufanya uwekezaji wa kudumu anza kuwekeza kwa kununua kiwanja kwanza.
Hakika...
Hello Wana JF natumaini mnaendelea vizuri Kwa uwezo wake muumba Wetu aliye mkuu, Nina Toyota Noah Voxy Nauza iko Arusha mjini .Bei yake Ni 8milion iko safi haijawahi kupata ajali ,mwenye kuhitaji...
Habari wana-JF,
Ninahitaji vifaranga wa kuku wa kienyeji aina ya kuroiler F1.
Kuna watu wamekuwa wakiuza kuku hao lakini si wale F1 bali wamekuwa ni mzao wa mbali sana kiasi cha kupoteza ile...
Habari za wakati huu wanajanvi.
Nimekuwa mwenye shauku ya kutaka kujua jinsi ya kutengeneza shower gel.
Mwenye elimu jinsi ya utengenezaji wa shower gel, nipe maelekezo.
Mambo vipi wadau nauza simu yangu Huawei p8 lite,
Bei TSH 180000
Specifications
Condition mzuri na haina tatizo, nauza coz ninashida na pesa,
Double line
Camera iko poa front and rear
GB 16...
Haidaiwi kibali chochote.
6 Cylinder
Gari tajwa hapo juu ni nzima haijawahi funguliwa injini.
Taa za mbele nzima na nyuma ni kubadilisha sababu ni za muda mrefu.
Inahitijika kuchomelewa kidogo...
Date listed 13/11/2017
DESCRIPTIONS:
Wakuu nimeamua kufanya edit kidogo kwenye tangazo hili.
Bei imepungua kidogo
N.b nyumba ni ya kisasa kabisa na ni finished.
Nawakaribisha wote wahitaji...
Habari wana JF
Ninauza asali mbichi, Jumla na rejareja
Asali haijachakachuliwa yaani haijaongezwa chochote
Nauza kuanzia ujazo wa robo Lita hadi Lita 20
Robo Lita Tsh 3000
Nusu Lita Tsh 6000...
Habari,
Mimi ni mwajiriwa kwenye company fulani ya muhindi na kipato changu ni Tsh si chini ya 500,000/=(take home)
Nataka kukopa mojawapo ya gari hizi suzuki jimny wide au escudo ile ya zamani...
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa. Bila ya kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo juu wakuu.
Well, Kama mada inavyosema ningependa kufahamishwa ni...
Gage30 sh 20,000 kwa pc sh. 6,800/mita
Gage28 sh. 26,500 kwa pc sh.9,000/mita
Gage 32 sh. 15,500 kwa pc
Vessal sh. 10,500 kwa mita
Lugoba sh. 10,500 kwa mita
Misumari(rangi) sh. 9,000 kwa...