Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Tunahitaji Laptop zitakazo saidia kuendesha workshop Dar es salaam, ziwe katika hali nzuri HP na Dell zisiwe feki na speed nzuri sana, hakikisha ina antivirus. tutazitumia kwa siku 20 tutalipa sh 5,500 kwa kila siku kwa kila laptop moja. hazitatumika kila siku ila makadirio ni siku 20 tu. kama unazo ni pm leo hii kabla ya 4pm