Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa ware wenye iPod, iPhone na iPad au smartphones zingine waweza kusikiliza mavituzi ya nyumbani kupitia radio iitwayo "Pride FM" toka Mtwara. Ni radio murua kabisa. Download Application iitwayo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
*De Niza Natural Honey* aka *Asali ya Asili chapa De Niza* inazidi kukusogezea huduma karibu *INAPATIKANA MAENEO NA SEHEMU ZIFUATAZO*. 1. *Mbezi Beach* opp. Massana. 2. *Mbezi Juu* njia ya...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Nauza line za uwakala wa Tigopesa na Airtelmoney Kwa 250,000 kwa pamoja Njoo PM Au acha namba zako za simu
0 Reactions
2 Replies
566 Views
Nauza kitanda cha chuma 4*6, kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo Bei 250,000 Nipo Dar es salaam, kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nyumba ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Watuwengi wamwjitahidi kujenga nyumba nzuri lakini zimeshindwa kufikia ndoto zao kwa sababu ndogo ndogo zikiwemo Kipato duni, kutumia mafundi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wadau, namtafuta mtu aliyejulikana kwa jina BEST, alikuwa anapakia mchele miaka ya 1992 TANDALE SOKONI, hatujui jina kamili ila alikuwa anatumia jina na a.k.a BEST. Mwenye mahusiano naye...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Hello natafuta simu ya mezani ile ambayo unaweka line ya Vodacom au ya Airtell asante sana ,
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini! Natafuta simu mpya LG G6. Mwenye kuuza aweke na bei kabisa, asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Watuwengi wamwjitahidi kujenga nyumba nzuri lakini zimeshindwa kufikia ndoto zao kwa sababu ndogo ndogo zikiwemo Kipato duni, kutumia mafundi...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nauza kipima joto bei poa kabisa tsh 55,000 Kama unahitaji ni PM
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari wakuu Kwa wale wataalam wa power bank na wanaojua brands nzuri za power bank basi wanaielewa vizuri Xiaomi brand products. Bei ya kuuzia ni Tsh 120,000/= Pungufu ya hapo tunazungumza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau,hope mko poa jamani kwa wale ambao wako mwanza tuna kampuni ya kukopesha.Tunakopesha kuanzia laki moja adi million kumi,tunakopesha kwa dhamana binafsi kama simu,computer gari n.k kwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Yeyote anaye jua dawa nxuri ya kutibu minyoo aina ya Amoeba anisaidie, nimetumia dawa mbali mbali wapi, inapona baada ya mda fulani inaludi tena, msaada ndugu zangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu mpendwa husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu ENEO la ziwani hekari 30 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site, SIFA ZA ENEO...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam wanajamvi... Moja kwa moja kwenye topic. Ni kwamba nahitaji friji. Friji hii iwe ya makampuni ya vinywaji mfano PEPSI, COCACOLA... Sasa basi ningependa kuuliza je, upatikanaji wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta AC ya ndani/nyumbani, nitaipata wapi na bei gan pia, nipo Morogoro
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu,nauza blackberry playbook haina tatizo jengine zaidi ya crack ndogo kwenye screen ambayo won't cost you a thing Bei 150000/= nakupa na chaja yake OG. Nipo,Ubungo...
0 Reactions
3 Replies
828 Views
Nyumba ina vyumba vinne, master bed room 1 na bed rooms 3, choo na bafu vya ndani, Sitting na Dinning Room pamoja na jiko la ndani. Ukubwa wa eneo la kiwanja ni medium 40 kwa 30, ina offa na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nilikuwa nataka nipatiwe taarifa kampuni zinazotoa Huduma ya car tracking nzuri.Makampuni yapo mengi ila penye miti mingi hapakosi wajenzi hivyo nahitaji kujua kwa uzoefu wenu kampuni zinazotoa...
0 Reactions
5 Replies
853 Views
Line tajwa hapo juu zinahitajika, Bajeti ni 250,000/= kwa zote mbili. Dar.
1 Reactions
0 Replies
652 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…