Erick Makungu
Member
- Jan 14, 2018
- 87
- 125
Yeyote anaye jua dawa nxuri ya kutibu minyoo aina ya Amoeba anisaidie, nimetumia dawa mbali mbali wapi, inapona baada ya mda fulani inaludi tena, msaada ndugu zangu
Nashukuru sana kwa ushauriChukua alovera isiuokuwa na madoa. Kata kata vipande vdogo vdogo kama nusu lita. Kisha weka maji usawa wa alovera uliyokata kata. Acha nusu saabkisha kunywa yale maji. Hakika utapona. Lakin tumbo lazima litafungua utahara kama mara 4 ivi rudia baada ya week moja. Ile mala ya kwanza tu hutosikia maumiv tena. Kisha utakuwa umepona saaàafi.