Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana jf! Jipatie home theater Aina ya Panasonic yenye watt 1000 kwa bei ya 400,000 tu Kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483 Nipo Dar es salaam
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi wanafamily wa JF!! Plz, nataka kuweka Umeme wa jua kwa kibanda yangu, loc- Mbezi Temboni Dsm, iwe na uwezo wa kuwasha bulb za wts 40 or less idadi 8, kucharge simu, kutumia Laptop and if...
0 Reactions
24 Replies
15K Views
Sepon Ltd ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA incorporation no. 101794, TRA tin no. 121-899-779, pia value added tax (vrn) no. 40-017145-0, Kinondoni Municipal business licence no. B 01578223. Pia...
0 Reactions
130 Replies
27K Views
Naomba mwenye kujua mafundi wazuri kwa magari hayo hapo juu mkoa wa morogoro. Anijulishe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau, Ninauza hard disc ya Transcend 500Gb,imetumika mara moja tu(nasisitiza imetumika mara moja tu) Bei Tsh 80,000/= Napatikana Dar,mwenye kuhutaji aje PM tuyajenge.
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Tunapatikana Kkoo msimbaz daresalaam na China Plaza floor ya pili daresalaam pia mobile shop tunakufukia mpaka home hata mikoani tunawafikia agiza upate kwa wakati kwa nn upoteze mda wako epuka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni ac kama ulizozizoea unatumia popote sebuleni, chumbani, offisini nk :REMOVABLE :SILENCE :LOW POWER USE :TSH 445000 Warrant 2yrs
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta matango kiasi kwa ajali ya biashara, Yawe yapo shambani nitafuata mwenyewe, Ama kama anaweza kuniletea tutazungumza. Napatikana Kibamba, Dar es Salaam Bei ya bidhaa itatoka kwa mkulima...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Je unahitaji vifaa vya ulinzi na usalama kwa ajili ya nyumba yako,ofisi,eneo la biashara au gari lako? Karibu I Secure Technology tukuhudumie. Huduma zitolewazo na I Secure Technology ni; 1-GPS...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kama habari inavyojieleza, any serious seller naomba anipe contacts zake pm tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
965 Views
You’ll find tons of helpful tips and articles for singers in my new book 101 Letters from a Vocal Coach, now available in paperback from Amazon, Barnes & Noble and Lulu. For more info and for...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Ntayafata mwenyewe, iwe Dar 0684223374
1 Reactions
0 Replies
580 Views
CUSTOM MEMORIAL EDITION/122000km/650cc/EF/PETROL /AT/RHD/4WD/5DOORS BEI 7.5M (Negotiable) SIMU # 0629037727
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Bei ni 200,000 mazungumzo yapo,nipo dsm line ni ya uhakika. Nitumie ujumbe mfupi kwenye 0717-092428
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Binafsi mimi ni mmoja wa watu naoamini msaada wa huu mtandao. Bila kupoteza wakati ndugu zangu nahitaji mtu au dalali wa bei nafuu ambae anaweza nisaidia kupata chumba hapo dodoma tuweze wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Tuwasiliane kwa Mwenye uhitaji wa hizi bidhaa;- Display ya miwani inauzwa 300,000 INA Display miwani pc 105(mia na tano) kwa wati mmoja. Ni kubwa, na juu kabisa INA vioo viwili. Inafaa kwa mtu...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Samahani kwa Kosa la heading. Mahala: Msanga mkuu, mtwara Ukubwa: Mita 129 kwa 100 Vitu vilivyomo: minazi Linafaa kwa: Hotel, resort, Makazi Bei: Milion 100 maelewano yapo For serious buyers call...
0 Reactions
3 Replies
915 Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza wapi ninaweza pata biometric devirce kwa ajili ya fingerprint na signature na bei yake ikoje nilikuwa nahitaji hicho kifaa. Mwenye kufahamu wapi naweza kuvipata na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta mtu wa kuinvest kwenye idea yangu ya biashara! Mtu aweze kuinvest kuanzia 5milion kupanda! Kama ni mkopo nitamlipa kwa marejesho ila kama ni only investment atapata shares katika...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJF nimelazimika kukiweka kiwanja changu rehani kilichopo maeneo ya Mbezi ya Msakuzi kwa makubaliano ya kurejesha pesa hiyo. Nina shida ya haraka nawaomba sana anayeijua taasisi au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom