botafongo jr
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 107
- 17
Habarini!
Natafuta simu mpya LG G6.
Mwenye kuuza aweke na bei kabisa,
asante
Natafuta simu mpya LG G6.
Mwenye kuuza aweke na bei kabisa,
asante
Habarini! Natafuta simu mpya LG G6. Mwenyekuuza aweke na bei kabisa, asante
Fuata huu ushauri mkuu,ni hatari sana kununua simu vichochoroni,simu zina mambo mengi sana,jichange ununue simu mpya tena hakikisha inakua ipo sealed kwenye box lake.Kwa msaada zaidi kwa simu mpya nenda dukani mkuu