Nahitaji Simu ya mezani

Nahitaji Simu ya mezani

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Hello natafuta simu ya mezani ile ambayo unaweka line ya Vodacom au ya Airtell asante sana ,
 
c74e255a6d9062c8ce41418fb2711f178fb162ad.jpeg
 
Hello .Natafuta simu ya mezani Ile ambayo unaweka line ya vodacom Au ya Airtell .Asante sana ,
Zinapatikana Mtaa wa Zanaki kwenye jengo la Telephone Hse, kuna duka linatazamana na Crown Bureau De Change. Bei yake ni Tshs. 120,000/
 
Zinapatikana Mtaa wa Zanaki kwenye jengo la Telephone Hse, kuna duka linatazamana na Crown Bureau De Change. Bei yake ni Tshs. 120,000/
Ubarikiwe mkuu wangu .
 
Back
Top Bottom