Nyumba ya kisasa inauzwa Bei Nafuu

Nyumba ya kisasa inauzwa Bei Nafuu

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,755
Reaction score
4,035
Nyumba ina vyumba vinne, master bed room 1 na bed rooms 3, choo na bafu vya ndani, Sitting na Dinning Room pamoja na jiko la ndani.
Ukubwa wa eneo la kiwanja ni medium 40 kwa 30, ina offa na inafaa kwa makazi.
Nyumba ipo Shinyanga, NDEMBEZI MAZINGE mtaa wa TAMBUKALERI jirani na shule ya sekondari Mazinge.
Bei kuanzia 24 milioni, inazungumzika.


Mawasiliano 0758-501133.

IMG-20180116-WA0010.jpg
IMG-20180116-WA0002.jpg
IMG-20180116-WA0000.jpg
IMG-20180116-WA0008.jpg
 
Good house, good offer ila daaaah shinyanga mbali sana asee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom