Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Oya wadau naitaji kufundishwa kuendesha gari ni DM tuelewane
0 Reactions
4 Replies
856 Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zipo mbili 1.La ukutani Urefu - futi 4 Upana - futi 1 Kimo - futi 3 Linegawanywa sehem tatu 2. La chini Urefu - futi 4.5 Upana - futi 1.25 Kimo - futi 3 Limegawanyika...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Mm ni kijana mjasilia mali nataka boat ya kununua boat ndogo ya mbao,kwajili ya shughul za kitalii nataka boat tupu,ofa yangu ni milion2. Kwa mawasiliano nitafute kwa whatsapp +255656721501
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimezikumbuka sana jamani zambarau pichani mwenye kujua zinapatikana wapi kwa Dar anijuze nijikumbushe nilivyokuwa mdogo
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu kama mnavyojua ktk ulimwengu wa crytpocurrency kadri siku zinavyokwenda unazidi kukua na kupanuka ktk nyanja mbalimbali na kampuni nyingi zimekuwa kila zinapotoa coin zao hutoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini, nnaomba mwenye namba ya simu ya dalali wa nyumba/vyumba maeneo ya kimara mwisho tusaidiane pia kama kuna maelekezo ya ziada mwenzenu nataka hamia ukooo. Natanguliza shukrani
0 Reactions
19 Replies
49K Views
Nataka mdau aniuzie kambale kg 15 kila siku niko mlandizi. 0718593224
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za jioni wandugu..kwa anae hitaji nyumba mpya na ya kisasa ya kupanga Dodoma anitafute .nyumba ipo ndani fence ina maji na umeme pia ni mpya ina vyumba viwili master...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Naomba msaada wenu wanaJF. Ni wapi naeza pata mafuta na sabuni za mwarobaini hapa DSM?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, habari zenu? Naomba msaada wenu. Ni wapi naweza kupata maeneo ya kukodi mashamba ya mpunga wanapolima kwa umwagiliaji? Nataka nipate sehemu ili niwe nalima mara mbili kwa mwaka. Au ni...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
unlock your iphone online today! i unlock all models.. iphone 4,4s,5,5s,5c,SE,6,6s,6+,6s+,7,7+ & X this service takes 3-4 days call or sms me +255769345032/+255654250816 if you need this service...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Rav 4 kill time no c Full vibal full ac Haijawai kupata ajali Model 2004 Kms 79,532 Bei 12.3m neg Call 0718017711
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Kwa mahitaji ya graphic design (Businesscards, brochure, posters, calenders, posts Za socialmedia, label Za bidhaa (stika Zisizo pauka)... Office branding car branding na banners Za Aina zone)...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Lipo mkoani Iringa wilaya ya kilolo kijiji cha mkalanga ni zuri sana kwa matumizi ya kilimo cha maharage,lakini pia zuri sana kwa kupanda miti ya mbao na kizuri zaidi waweza panda hata miti ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Used Toshiba Satellite C850(Black in color), processor Intel dual core 2.3Ghz,Ram 4Gb,Hdd 500Gb,screen size Led 15.6",Sd card reader,HDMI slot,Webcam,DVD Rw,3 hours on battery..Price Tsh 350000...
1 Reactions
0 Replies
776 Views
Habari njema January hii! Vodacom Tanzania Plc tunatoa Tsh bilioni 6 za faida ya kutumia M-Pesa kwa wateja wa M-Pesa. Kujua gawio utakalopokea tuma neno KIASI kwenda 15300. #PesaniMPesa...
1 Reactions
73 Replies
12K Views
ni NO B ipo vzr sana full vibali ipo TABATA 0714573462 M.3.8
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Pikipiki hii iko vizuri na imara kwa masafa ya mbali. Wenzangu WANAPOLO wanaifahamu vuzuri. Karibuni sana Bei million 3na laki 8.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza kitanda cha chuma kwa bei ya 250,000 tu, kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…