dodoma real estates
Member
- Jan 18, 2017
- 77
- 12
Habari za jioni wandugu..kwa anae hitaji nyumba mpya na ya kisasa ya kupanga Dodoma anitafute .nyumba ipo ndani fence ina maji na umeme pia ni mpya ina vyumba viwili master ..jiko..dining..sebule..madirisha aluminium..gypsum juu..tiles chini..perving blocks nk..bei ni 300k kwa mwezi*6..mwente uhitaji ancheck 0714140579..