MWENYE MUHOGO MIBICHI ULIO TAYARI KUVUNA TUWASILIANE SOKO LIPO DAR
SIFA KUU
IWE INAIVA KWA KUCHEMSHWA NA KUKAANGWA NA ISIWE MICHUNGU
CALL 0656956809 AU 0743243444 MR GERALD
Unanunuaje? Kwa kilo au kiroba? Sh ngapi unanunua
Acha uvivu piga hizo no uulize hayo maswali
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We ffala kweli unadhani mi nafanya biashara ya mihogo ndio nikupigie simu? Yaani mi nipige simu kwako kuhusu mihogo? Bbwege kweli wewe .. Nilitaka uweke details moja kwa moja kukusaidia kwenye hiyo biashara yako ya milala nje sababu wengine si wanunuzi wanasoma tu na kupita!.. unauza mihogo tu hivyo je ungefanya biashara ya bureau de change si ungekua unatukana kila anayekuja dukani kwako.. pummbaf wewe
hahaa eti milala nje