Iko mbezi "Mbezi Msumi iko wapi?
Mbezi ya wapi?Iko mbezi "
KimaraMbezi ya wapi?
Oooh asanteKimara
Kwa 15M watu watakigombania sasa hivi.Bora ungeongeza 30M ili upunguze watu kukigombaniaKiwanja kipo kwenye process za kupewa hati,gharama za awali za upimaji zimeishafanyika,kwa 15M tu..nicheki 0714 345 432/0685 779 278..ni msumi 'C' Ni tambalale,kina miembe na kipo karibu barabara na pia stand kuu ya daladala..!
Chukua 10m kama kweli ni muuzaji vinginevyo utakaa sana sanaKiwanja kipo kwenye process za kupewa hati,gharama za awali za upimaji zimeishafanyika,kwa 15M tu..nicheki 0714 345 432/0685 779 278..ni msumi 'C' Ni tambalale,kina miembe na kipo karibu barabara na pia stand kuu ya daladala..!
Mkuu hicho kipimo utakuwa umekosea. 17.2cm ni urefu mfupi kuliko rula ambayo ina 30cm.....Thanks guys,...kiwanja ni square metres 592 (kiko mstatili...upana 17.2cm*Urefu 34.4cm)...
Pamoja mkuu...Ni kweli mkuu,hizo ni metres na siyo centimetres...asante kwa huo mrejesho...!