Nauza kitanda cha chuma chenye ubora kwa bei ya 250,000 tu
Kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo ni kigumu na imara
Nipo Dar es salaam kwa anae hitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo
1. Aina ya kampuni: Kampuni yenye ukomi wa mtaji ie Private limited company...
Kwa hali ya barabara nyingi za mitaani zilivyo huwa najikuta nateseka sana na saloon car, kiasi ninapoona mtu anachanja mbuga na 4WD kubwa kubwa basi roho huwa inaniuma sana; nimejaribu kuangalia...
wakuu nauza tv 43" aina ya BOSS ina mwezi mmoja imetumika, nimetingwa nauzia shida wakuu mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kupitia namba 0752046145, location ni Dodoma kuhusu picha nimeshindwa...
Nimeshawishika kuleta bandiko hili baada ya kuona na kusikia kutoka Star TV urahisi wa kutengeneza jokofu la kiasili lisilohitaji matumizi ya umeme lakini lenye uwezo wa kuhifadhi vyakula vibichi...
Anza kujitengenezea kwa kuvuna bitcoin zako kwa kutumia kompyuta/laptop yako/zako wewe mwenyewe kama wewe kwa idadi ya kompyuta unazoweza kuzitumia Wewe au pamoja na kundi la watu wako.
Hela...
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company...
Ni site nzuri inayofaa kwa biashara ya day care au dispensary au security guard, au hotel ina umeme na maji ndani ya fence karibu na barabara bei yake ni milioni moja kwa mwezi. ukiweza kufika...
Nauza kitanda cha chuma futi 4*6 kwa bei ya 250,000 tu
Kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo na unaweza ukakibeba uku kikiwa kimekunjwa hasa kama wewe ni mtu wa kuhama hama nyumba...
Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea...
Habar za sikuku wakuuu??
kama kichwa habar kinavyo sema hapo juu engine imetumika miezi 6 tuu na ni 24horse power na msumeno umetumika kwa mwaka mmoja gharama ya mauzo ni 2.5ml
Kwa wale ambao...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
QKaccount is php based web application that help you to manage your stock. Update stock, purchase and sales from anywhere, Office, Home, Warehouse or on the go. You only need internet connection...