Kampuni imesajiliwa inauzwa

Kampuni imesajiliwa inauzwa

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
425
Reaction score
955
Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo
1. Aina ya kampuni: Kampuni yenye ukomi wa mtaji ie Private limited company
2. Imesajiliwa: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (BRELA)
3. Mwaka wa usajili: 14 Januari 2012
4. Mtaji: Milioni 10 Tsh
5. Idadi ya wamiliki: 2
6. Shughuli inazofanya: Biashara zote halali kwa mujibu wa MEMORANDUM
7. Madeni: Inadaiwa annual returns BRELA sh 582,000 tu
8. Shughuli inazofanya kwa sasa: Haijawahi kufanya shughuli zozote. Ilikuwa "dormant"
9. Bei: 5mil Mazungumzo yapo

Huduma za muongozo ukinunua utasaidiwa kwa gharama zilizojuu
1. Kubadilisha jina (Brela ni sh 22,000)
Utasaidiwa vielelezo kwa kuandaliwa mkataba wa kisheria na kubadilishiwa jina ambapo gharama
2. Kubadilisha majina ya wamiliki utapata mwongozo pia kwa gharama nafuu

Kwa maelezo zaidi
Email: consultafrolinktz@gmail.com
Hotlines: 0659211222/0755411455/0777777766
 
TRA mnadaiwa ngapi
 
Kwahiyo unaiuza na huo mtaji wa shilingi 10m kwa shilingi 5m au ndio unauza jina tu?

Kama hauiuzi na huo mtaji na kama haijawahi kufanya shughuli yoyote je mwenye kuinunua atafaidika vipi nayo?

Kimantiki si afadhali mtu akasajili kampuni mpya tu kwa gharama ya chini kuliko hiyo unayouza?
 
Linauzwa jina
Kwa upand mmoja upo sahihi na kwa upande mwingine mwenye uhitaji atakuwa sahihi. Kuna baadhi ya watu wanahitaji kuomba tenda nk. Ss kwenye tenda utapeleka kampuni ndo umeisajili leo? Kuna matumizi mengi sana ya kampuni iliyosajiliwa muda mrefu
Regards
 
Kusahljiri kampuni ya 10 m sio zaidi ya million sasa kwanini nianze kununua dormant company kwa kiasi hicho cha pesa!?unless kuna Maelezo umeyasahau!!
 
Kwa nionavyo mimi uko sahihi kusema kuwa unauza kampuni,ila kwa kuwa ina madeni sidhani kama hiyo bei unayotaja ina mantiki yoyote ile hasa ukizingatia kuwa kisingizio chake ni umri wa kampuni.

Ushauri wangu ni huu,Uza controlling shares kwa mtu ambaye anaweza kulitumia jina la kampuni,naamini inawezekana.Unaweza uza kwa mfano 51% tu kwa bei ambayo ni reasonable kwa masharti ya huyo mtu kuinjekt capital ili kampuni ijiendeshe.Ukifanya hivo ina maana utaweza kupata pesa kidogo na kisha ukaendelea kuw amkurugenzi wa kampuni hiyo lakini ukampa huyo aitakaey controlling shares.Naamini inawezekana.na ukiweka bei nzuri hutakosa watu wataokubali kutoa kama mili 1.5 just kuwa share holders wakuu kwenye hiyo business yako
 
Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo
1. Aina ya kampuni: Kampuni yenye ukomi wa mtaji ie Private limited company
2. Imesajiliwa: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (BRELA)
3. Mwaka wa usajili: 14 Januari 2012
4. Mtaji: Milioni 10 Tsh
5. Idadi ya wamiliki: 2
6. Shughuli inazofanya: Biashara zote halali kwa mujibu wa MEMORANDUM
7. Madeni: Inadaiwa annual returns BRELA sh 582,000 tu
8. Shughuli inazofanya kwa sasa: Haijawahi kufanya shughuli zozote. Ilikuwa "dormant"
9. Bei: 5mil Mazungumzo yapo

Huduma za muongozo ukinunua utasaidiwa kwa gharama zilizojuu
1. Kubadilisha jina (Brela ni sh 22,000)
Utasaidiwa vielelezo kwa kuandaliwa mkataba wa kisheria na kubadilishiwa jina ambapo gharama
2. Kubadilisha majina ya wamiliki utapata mwongozo pia kwa gharama nafuu

Kwa maelezo zaidi
Email: consultafrolinktz@gmail.com
Hotlines: 0659211222/0755411455/0777777766
Tuingie makubaliano ya kulipa kwa miaka mitano.Nipo tayari kwa 3.2Mil.
Ukiridhika, njoo PM.
 
Kwa nionavyo mimi uko sahihi kusema kuwa unauza kampuni,ila kwa kuwa ina madeni sidhani kama hiyo bei unayotaja ina mantiki yoyote ile hasa ukizingatia kuwa kisingizio chake ni umri wa kampuni.

Ushauri wangu ni huu,Uza controlling shares kwa mtu ambaye anaweza kulitumia jina la kampuni,naamini inawezekana.Unaweza uza kwa mfano 51% tu kwa bei ambayo ni reasonable kwa masharti ya huyo mtu kuinjekt capital ili kampuni ijiendeshe.Ukifanya hivo ina maana utaweza kupata pesa kidogo na kisha ukaendelea kuw amkurugenzi wa kampuni hiyo lakini ukampa huyo aitakaey controlling shares.Naamini inawezekana.na ukiweka bei nzuri hutakosa watu wataokubali kutoa kama mili 1.5 just kuwa share holders wakuu kwenye hiyo business yako
Nashukuru kwa ushauri wako
Lakini tayari ushauri huo nilishauangalia. Pili tayari nina kampuni nyingine na tatu ukinunua utabidi ubadilishe jina
Hakuna madeni zaidi ya hizo Annual return za BRELA. Hii ina maana ya kwamba ukiinunua unaanza fresh kufanya biashara zako mwenyewe utakazo kwa mujibu wa MEMORANDUM. Sio kampuni iliyokuwa inaoperate ukutane na madeni nk nk laaah hasha
Vilevile sijajua kama watu huwa wanaelewa vipi maana ya msemo "muda ni mali".
 
Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo
1. Aina ya kampuni: Kampuni yenye ukomi wa mtaji ie Private limited company
2. Imesajiliwa: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (BRELA)
3. Mwaka wa usajili: 14 Januari 2012
4. Mtaji: Milioni 10 Tsh
5. Idadi ya wamiliki: 2
6. Shughuli inazofanya: Biashara zote halali kwa mujibu wa MEMORANDUM
7. Madeni: Inadaiwa annual returns BRELA sh 582,000 tu
8. Shughuli inazofanya kwa sasa: Haijawahi kufanya shughuli zozote. Ilikuwa "dormant"
9. Bei: 5mil Mazungumzo yapo

Huduma za muongozo ukinunua utasaidiwa kwa gharama zilizojuu
1. Kubadilisha jina (Brela ni sh 22,000)
Utasaidiwa vielelezo kwa kuandaliwa mkataba wa kisheria na kubadilishiwa jina ambapo gharama
2. Kubadilisha majina ya wamiliki utapata mwongozo pia kwa gharama nafuu

Kwa maelezo zaidi
Email: consultafrolinktz@gmail.com
Hotlines: 0659211222/0755411455/0777777766
Kwani gharama ya kufungua kampuni mpya Brela ni kiasi gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Inategemea na Mtaji wako ila haizidi mil 1.5. Na pili nadhani wengi wamejikita katika kufungu kampuni tu. Hiyo sio ishu kwa suala hili
Suala hili nimegundua kuna 'wageni' wengi kuhusiana na muda na masuala mazima ya kampuni. Leo wewe unahitaji kufungua kampuni mpya, lakini kuna mwingine anahitaji kampuni iliyosajiliwa zaidi ya miaka 10 iliyopita hata kama hai- operate. Ukifuatilia kiundani utaona kila mmoja lengo lake
 
Back
Top Bottom