Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu, ninahitaji film ya hii copy machine! Naomba mwenye nayo au direction anisaidie niipate! Nawapenda sana
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Toyota Noah ipo sokoni hiyo inataka 11.5 Mil ipo dar kwa aliye interested lipo magomeni kwa ukaguzi na kama utahitaji kuletewa sehemu yeyote ndani ya dar tunaleta ila unatuma pesa ya mafuta...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company...
0 Reactions
5 Replies
965 Views
Eneo lipo kiromo bagamoyo , upande wa kushoto( upande wa shule ya kiromo) kama unaenda bagamoyo mjini. ni km 3 kutoka barabarani. ni Heka 4. Eneo linafaa kwa ufugaji, ujenzi wa shule, Kujenga...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Kama kichwa cha Habari hapo juu kinavyojieleza, kama kuna mtu anayeweza kuniuziaa hiyo kitu itapendeza sana. Na ningependa kujua kama kuna madhara yoyote ya kutumia till namba ya mtu mwingine...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kiwanja kipo MWANAGATI (KITUNDA) Plot size: square meter 900 ( meter 30*30) Kipo tambarare (plain surface) (Ardhi ni ya kichanga) 4.5km kutoka Banana stand 1km kutoka KITUNDA (shule) Umeme maji...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
JIUNGENI HUMU NI BONGE LA FORUM KUZIDI ZOTE TANZANIA tuzungumze.com JIUNGE UFURAHIE KUCHATI
0 Reactions
10 Replies
988 Views
Nauza kitanda cha chuma chenye ubora kwa bei ya 250,000 tu Kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo ni kigumu na imara Nipo Dar es salaam kwa anae hitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo 1. Aina ya kampuni: Kampuni yenye ukomi wa mtaji ie Private limited company...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Kwa hali ya barabara nyingi za mitaani zilivyo huwa najikuta nateseka sana na saloon car, kiasi ninapoona mtu anachanja mbuga na 4WD kubwa kubwa basi roho huwa inaniuma sana; nimejaribu kuangalia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nauza tv 43" aina ya BOSS ina mwezi mmoja imetumika, nimetingwa nauzia shida wakuu mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kupitia namba 0752046145, location ni Dodoma kuhusu picha nimeshindwa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeshawishika kuleta bandiko hili baada ya kuona na kusikia kutoka Star TV urahisi wa kutengeneza jokofu la kiasili lisilohitaji matumizi ya umeme lakini lenye uwezo wa kuhifadhi vyakula vibichi...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Anza kujitengenezea kwa kuvuna bitcoin zako kwa kutumia kompyuta/laptop yako/zako wewe mwenyewe kama wewe kwa idadi ya kompyuta unazoweza kuzitumia Wewe au pamoja na kundi la watu wako. Hela...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Samahani wadau nahitaji .machine ya kuchana mbao kwenye karakana yangu.machine hiyo ni aina ya rip machine. Msaada ni wapi zinauzwa kwa Tanzania hii
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Ni site nzuri inayofaa kwa biashara ya day care au dispensary au security guard, au hotel ina umeme na maji ndani ya fence karibu na barabara bei yake ni milioni moja kwa mwezi. ukiweza kufika...
0 Reactions
2 Replies
693 Views
Nauza kitanda cha chuma futi 4*6 kwa bei ya 250,000 tu Kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo na unaweza ukakibeba uku kikiwa kimekunjwa hasa kama wewe ni mtu wa kuhama hama nyumba...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
samsung c7pro bado iko vizur haijachunika wa haina krek nichek hapa 0738579574.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom