Commander Dalton
Senior Member
- Feb 10, 2018
- 198
- 264
OkHyo processor em ielezee fresh... Dual core.. Core i x...
Alafu tutajie model vzr
Weka no nikupigie au nitumie PM no yako,Wakuu hii laptop ninauza ili niongezee pesa ninunue nyingine kwa ajili ya kazi
Laptop ina shida mbili
1.Body yake imeharibika kama hivyo inavyoonekana kwenye picha.
2.Keyboard yake haifanyi kazi.
Ila
Specification ni
Ram 2 gb
Processor 2.8Ghz
Hdd 300GB
Battery yake ni 3hrs.
Location: Mwanza
Bei: 60000/-View attachment 721895View attachment 721896View attachment 721897View attachment 721898
Elfu sitini kulingana na hilo tatizo nililoainisha hapo juu.unauza sh elfu sitini ? au laki sita?.
nipo Igoma we upo wapi
Mkuu uko mbali tungemaliza hiyo mambo saivi, mi nipo darElfu sitini kulingana na hilo tatizo nililoainisha hapo juu.