Platform ya matokeo inahitajika

Platform ya matokeo inahitajika

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Wadau na wataalamu, nahitaji gwiji wa kutengeneza platform ya matokeo na taarifa kadhaa kwenye sheet kwa ajili ya shule. Hiyo platform iwe na vitu vifuatavyo

1. Itakayotoa matokeo ya mitihani katika grade, position, division and remarks.

2. Taarifa za kila Mwanafunzi automatic. Kwa mfano, tukijaza taarifa za ada aliyolipa, basi itoe na anayodaiwa automatically.

Nadhani kiasi nimeeleweka. Kwa maelezo zaidi watsup.. 0625686556.
 
Back
Top Bottom