Natafuta wachimbaji wa visima vya maji - Dar Mbezi Kimara

amkawewe

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
2,021
527
Hi,

Kama kuna mtu anafahamu watu/kampuni ya kuchimba visima vya maji...
1. Process ikoje? - survey - Bei?
2. kuchimba - Bei?

Eneo liko mbezi luis
 
Ok ni kwamba naijua hiyo kampuni na gharama zao za suryey ni laki 3 but gharama za uchimbaji inategemea na urefu wa kisima
 
savei tuu laki tatu? Je uchimbaji? Very expensive aisee.

Gharama hizi ni za kufanya savei na kutayarisha technical report ambayo ina maelezo ya kumsaidia mchimbaji kujua maji yako umbali gani na kiwango cha maji.

Gharama za kuchimba kisima inategemea na kampuni uliyowapa kazi, lakini ziko kati ya shilingi 50,000 hadi 80,000 kwa mita moja.

Gharama hizo ni pamoja na kufunga mabomba chini ya ardhi na kusafisha kisima, kama unataka wafunge pump, utalipia gharama za manunuzi na kufunga.
 
Back
Top Bottom