MwanaMagongo
Member
- Aug 15, 2011
- 76
- 47
Dar es Salaam maeneo ya Mawasilino krb na kituo cha daladala SIMU2000mpo wapi?
Mil 1.4Wasio na minba bei yao ipoje?
Mkuu hawa wanatoa hizo lita 24 kwa ukanda wetu huu wa Pwani wenye joto mkuu??TUNAUZA NG'OMBE WA MAZIWA WENYE MIMBA FREYSIAN NA AYSHIRE. UWEZO WA KUTOA MAZIWA HADI LITA 24 KWA SIKU, MIMBA MIEZI 8 TSH 2,200,000 tupigie 0773833383
Nimelala Ruhinda....We Jamaa hivi umesoma Tabora Boys, sio???
nawaonaga nikipitaga pale darajani,kumbe wanatoa maziwa mengi hvyo!!!!Dar es Salaam maeneo ya Mawasilino krb na kituo cha daladala SIMU2000